Mashekhe wote wangekuwa kama hivi waislamu tungekuwa mbali sana wallaah
2026-11-03 18:41:58
12
Abdullgani :
sitaki kuleta uzushi lakini mbona tunasikia pumzii ya imam akipumua akiwa kwa swala lakini bismilahi hata hatusikii kama hiyo pumzi? halafu kama mtume alifanya bismilahi Mara siri na mara akasema kwa sauti mbona nyinyi musimix mara jahran ba siran?
2026-11-03 17:59:25
1
Rocky julay :
mashekhe tuigeni haya ndo dini iende mbali
2026-11-04 03:33:37
1
user8681257703659 :
Maashaallah allah azidi kukubaarik doctor islam, nakupenda kwa ajili ya allah,!
Na sisi wengine tuache upinzani, shekh amejibu kielimu, tena mwisho ametunasihi, kuacha makindano,,! tutamani mashekh watoe fat,wa kwa mfano huu,
2026-11-04 05:12:29
1
SJeffah :
Na kusema Audhu bi Llahi minasheitwaani rajeem, naona ni amri isomwe au n vipi sheikh?
2026-11-04 05:17:14
0
user8130777633222 :
kwann lkn kama ni ayaaa usomwee kwa siri
2026-11-04 05:18:41
0
Jamaludin jamir aljab :
mashekhe wangekuwa hivyo wallahi tungeanda mbali
2026-11-03 22:12:53
3
hajj ibrahim :
leo,mara ya kwanza,nimekukubali sheikhe letu
2026-11-04 05:39:22
0
Haroub Suleiman :
kwa nini iwe siri wakati ni aya kwa nini isidhihirike kwenye sala za jahra na kwa nini muzalishe farq
2026-11-04 04:56:55
0
Haruna construction services :
Jazaakallahul khayra doktor Allah akupe umri mrefu wenye manufaa hakika dini inaanza kurudi mahali pake yale mambo ya ugomvi hayapo tena namuomba Allah atupe mashkh weengi wenye akhlaaq kama yako doktor
2026-11-03 16:23:04
7
Abuswaleh15 :
Kama alisoma kwasiri mulijuaje alisoma na nisiri? nakama maswahaba walimsikua mtume s.a.w akisoma hio nisiri?
2026-11-04 05:07:40
0
Astara Abdulrahman :
hizi tofauti na ushindani ziko huko kwenu east Tu... Ndani Makkah tul mukaramma nimeskia bismillahi ikitamkwa kwa sauti ya juu na si big deal huku
2026-11-03 22:50:19
1
Chamtu tz :
Shukran Sheikh kwa mafunzo
2026-11-03 15:51:44
3
Ali Seif Salami Al Riyami :
ZAMANI NLIKUA NAKUONA UKO VIZURI HUNA MATUSI.
2026-11-04 05:08:05
0
Xajji banaadir004 :
hapo ss tunaweza elewana
2026-11-03 19:35:20
1
g groot :
s.a.w.
2026-11-03 16:02:31
1
Hulka Mgeni Hulka :
شكرا الشيخ
2026-11-03 16:26:55
1
MTP FASHION DESIGNER :
Safi kabisa hivi ndio inavyo takiwa umefafanua vizur
2026-11-03 17:44:29
0
MAGWE :
Kwani hii swala ya mtume saww ina namna nyingi?
2026-11-04 04:44:36
0
Amin Said :
من.لم.يبدي.باسم.اللةالرحمان.الحيم.فھو.اجزم
2026-11-04 04:28:37
0
issaalice2 :
Maashaallah kuna sunna wengine wanasema kuisoma vyovyote vile ni bidaa tu hivo hawaisomi kabisaaa utaskia t anafunga swala Allahuakbar Alhamdulillahi rabbil aalamiin. Mtihani huu lkn tuombe salama tu kwa Allah.
2026-11-04 06:15:31
0
BOSS MANYOTA💥💪💥 :
kwa siri jina la Allah surely waweza kusoma kwa siri hiyo ni Sunnah hata kwa dhahir inaruhusiwa tusiwe wabishi kwenye hili swala
2026-11-04 06:42:43
0
toba mgono :
Mashallah allah atufahamishe didi
2026-11-04 04:38:43
0
kunajoto.001 :
wengine hawasomi
2026-11-04 05:19:57
0
Muhandas :
Allh akuhifadhi dr
2026-11-03 19:11:50
0
To see more videos from user @risaladawaah, please go to the Tikwm
homepage.