@taimediatz: #HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ametambua makosa yake na bado ana nia ya kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopangiwa. Malisa ameyasema hayo leo mkoani Tabora wakati wa makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo, Angelina Mabula, akieleza kuwa bado ni kijana na mzalendo mwenye dhamira ya kulitumikia taifa. Aidha, amewahimiza wananchi kuendelea kumuombea Rais Samia ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kuliongoza taifa. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv

taimediatz
taimediatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 12:15:55 GMT
21686
323
11
35

Music

Download

Comments

ndekusara.ngaya
Ndekusara Ngaya :
Radhi ya nini unaomba Muombe Mungu akuongoze kwenye afya na kila kitu mengine Mungu anayajua[Pray]
2026-11-03 14:05:47
3
jumakapilima
Jimmy :
si munawaambiaga vijana wajiajiri?
2026-11-03 14:46:29
2
porno4767
PORNO :
Kwanini amuombe radhi kamfanyia nini
2026-11-03 13:14:47
1
mariammuezeshaji
mariammuezeshaji :
sawa umesamehewa ila tutaona matendo yajayo
2026-11-03 15:34:38
0
user8169974496191
scola :
Amefanyaje tenaa
2026-11-03 20:57:50
0
juma.makungu
Juma makungu :
kafanya kosa gani
2026-11-03 14:42:42
0
mercy_a87
Mercy :
Mmmh!!!
2026-11-03 14:08:00
0
user6903639410787
lil suk :
unahisi atakupa mkoa mwingine?
2026-11-03 14:05:50
1
clintonnjwaga222
clintonnjwaga222 :
mzeee wana CCM tupo wengi na walio soma ni wengi pia ila sio wote wana ajira mzee rudi mtaani ujiajiri sio lazima uwe kiongozi mpaka kufa SHIDA vijana tukiaminiwa tunajisahau sana kuna nafasi pia na wengine watumikie taifa
2026-11-03 15:51:43
1
lugayila.electric
lugayila electrical :
afya njema jiombee wewe bn acha kunyenyekea watu
2026-11-03 12:29:20
2
ezbon.elisha
Ezbon Elisha :
😂😂😂
2026-11-03 13:40:25
0
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About