@dr.irene1002: Dalili zinazoweza kuonekana 1.Uchovu mkubwa usioelezeka. 2. Kupungua uzito bila sababu. 3. Homa ya mara kwa mara. 4.Huharisha kwa mda mrefu. 5. Maambukizi ya mara kwa mara,mfano fangasi mdomoni au maambukizi ya uke. 6.kuvimba tezi kwenye shingoni au kwapani. 7. Maambukizi ya mara kwa mara ya njia ya uzazi. 8.Vidonda au upele unaojirudia bila sababu wazi, ijapokuwa dalili hizi zinaweza kusababishwa na magonjwa mengine. unahisi una wasiwasi kuwa umeambukizwa usisubiri dalili pima VVU . chukua hatua haraka juu ya afya yako ushauri ni kitu cha Bure ZYNOVIRAPRODUCTS #HEALTH #FYP #ZYNOVIRAPRODUCTS #VIRAL #FYPシ

Zynovira
Zynovira
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 12:31:55 GMT
83949
715
19
35

Music

Download

Comments

maimuna.heiyda
Maimuna Heiyda :
Asante mungu niepushe na magonjwa ya Dunia asante mola wangu🥰🥰
2026-11-04 17:54:14
5
miss.sasillo
Miss Sasillo :
Ewe mungu tuepushe na maradhi tupe afya njema,,
2026-11-07 06:23:22
2
user8188317870739
anna :
eee mungu tusaidie wanao tuepushe nakila baya Asante mungu
2026-11-04 21:42:49
3
joy.kajoy0
joy kajoy :
izi si zetu
2026-11-07 08:13:07
0
user2883617998768
user2883617998768 :
miye sielewe nifasiriye muzuri
2026-11-04 17:01:42
0
malikia512
malikia 💋 :
mungu Asante kwa uhai wako n uzidi kutulinda wanao
2026-11-06 19:59:04
1
linet8771
linet :
ee mungu niebushe na magonjwa
2026-11-06 09:41:15
1
felisianizakalia
Felisiani Zakalia :
mungu nimwema kilawakati tuponae sanatuu ilahakiliyetu ndo changamoto mungu atusaidie atuepushe navitu hivyo
2026-11-06 07:24:54
1
esther.musyoki82
Esther Musyoki :
hizi dalili zote nikonazo thats means nikonayo sasa 😂😂😂😂
2026-11-06 23:40:53
0
mama.sasha261
mama sasha :
ee mungu niebushe na magojwa
2026-11-06 07:37:47
1
lydescar
lydescar :
amina
2026-11-06 18:20:50
0
dafroza.panchian
Dafroza Panchian :
asante
2026-11-04 16:36:48
1
shekhe.kibaragwa
Shekhe Kibaragwa :
Molla tuifadhi na maladhì hatari
2026-11-04 17:12:42
0
felisianizakalia
Felisiani Zakalia :
kilamwana muke ukimwambia tukapime hawataki sijuishidanini
2026-11-06 07:26:15
0
my.love42599
My love❣️❣️ :
🙏🙏🙏
2026-11-06 06:16:38
0
To see more videos from user @dr.irene1002, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About