@agricultureplustz: 🌾🔥 MPUNGA WAKO UNAWEZA KUWA BIASHARA KUBWA ZAIDI! Unatafuta mashine kubwa ya kukoboa mpunga kwa ajili ya kiwanda chako au biashara ya uchakataji wa mazao? Hii hapa RICE MILL MACHINE — AGRICULTURE PLUS! 🚜 🏭 UWEZO: TANI 1.5 KWA SAA 💰 BEI: TSh 8,000,000 🚚 USAFIRI NI JUU YETU! ✅ Uwezo mkubwa wa uchakataji ✅ Inafaa kwa wajasiriamali na wakulima wakubwa ✅ Fursa ya kuhudumia wakulima wengine na kuongeza kipato ✅ Ongeza thamani ya mpunga wako kupitia uchakataji 🔥 Usiishie kulima mpunga, wekeza pia kwenye uchakataji wake! 📍 Tegeta Nyuki, Dar es Salaam 🚚 Tunafikisha mikoa yote Tanzania. 📲 WHATSAPP: 0795 161 727 Tuma ujumbe wenye neno “RICE MILL” sasa upate maelezo zaidi na kuagiza mashine yako. #RiceMill #RiceProcessing #Mpunga #Mchele #KilimoTanzania

AGRICULTURE PLUS
AGRICULTURE PLUS
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 13:00:20 GMT
1346
19
4
2

Music

Download

Comments

salum.mboje3
salum mboje :
Mimi nataka hii
2026-11-03 15:35:29
0
topmanyota1
top manyota :
spea zake mnazo?
2026-11-04 07:00:15
0
salum.mboje3
salum mboje :
nakupataje
2026-11-03 15:36:05
0
To see more videos from user @agricultureplustz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About