@abelsuleimanshiliwa:

ABEL SULEIMAN SHILIWA
ABEL SULEIMAN SHILIWA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 13:10:02 GMT
7266
353
74
26

Music

Download

Comments

juma.kibaden
Juma Kibaden :
tahira
2026-11-03 18:36:47
1
harbian00
HARUN HASSAN :
jamaa yuaona ana point kweli
2026-11-04 18:57:46
1
lothbrock12
Mr Ben Soo :
mimi nataka kujua hiyo quran ilikuwa inashukaje yani ilikuwa inashuka kwa njia gani?
2026-11-05 12:48:31
2
tawfiq_tv7
Tawfiq_tv :
Nafurah sana kuona muujiza wa Quran ukifanya kazi mbele ya macho yangu, Quran inakupa kile ambacho moyo wako unakitafuta, ukiisoma Quran kwa kutafuta uwongofu Wallah quran itakupa uwongofu, na ukiisoma Quran kwa kutafuta kasoro na hoja quran itakupa kile unachokitaka..Ili uzidi kupotea zaid, Surah ya 2 Ayah ya 26
2026-11-03 15:33:24
2
salumkhamiss665
salux :
sasa abel ulitaka muhamad aoe mke mwingine kwa mali ipi na alikuwa hana mali alivo kufa hadija mtume ali rith mali ya khadija nd akaoa wake wengine kwa sabab quran ipo waz na mkiona hamuwez kufanya uwadilifu bas mmoja ty anatosha
2026-11-03 13:23:57
1
abuuabdilla
Abdullah Hassan :
sawa alikua anamuogopa khadija, we inakuuma ni mwanetu 😂🤣🤣
2026-11-04 05:12:44
1
its.peterson.m
peterson :
Mohammad na khadija walioana kwa itikadi ya dini gani
2026-11-04 12:51:38
0
shaibuismaili26
Shaibu [email protected] :
nachoka mm kuufatilia abeli mana cna nachojifunza kwako
2026-11-04 03:41:15
1
stanleymathias25
matty@76 :
mshangazi unamaanisha au?
2026-11-05 12:06:52
1
levo.za.upendo
it's Gwakisa Mwakyusa❤️‍🔥 :
mwalim uko na Account nyengine
2026-11-03 13:51:54
0
desa255
Angel Cute🥰 :
Mungu akubariki mwalimu
2026-11-05 09:57:11
1
waisengodesir
desir#wmt :
kumbe Mishangazi ilianza na kina MuDi
2026-11-06 19:12:06
1
danielnzamba61
Daniel Nzamba :
kana wewe mwalimu kweli
2026-11-06 18:30:18
1
king_motion45
Kingmotion :
inafikirisha Kwa kweli,
2026-11-05 13:50:33
1
happyfujo24
Happyfujo :
asante Mwalimu kwa kuwafungua macho wanajifanya hamnazo wakati wanapotea ubarikiwe sana
2026-11-04 22:47:23
1
manji.hasan
Manji Hasan :
unajua unapo linganiwa sana na ukiwa unaukata ukweri na kuufunika ukweli ndio ukafili wako unajidhihilisha
2026-11-05 10:25:09
0
maxinit_24
maxinIT :
someone spoke my mind
2026-11-04 07:19:08
1
drash270
DRASH :
KWAIO UNATAKAJE!!
2026-11-03 14:43:35
0
munduyenge2
Munduyenge🫵🫵 :
una unachokijua
2026-11-03 19:54:09
0
user69224088128522
user69224088128522 :
balaaa hiii
2026-11-04 15:39:58
0
jaymasterjay61
Jay Master Jay :
Mbona wachokoza majini jameni?
2026-11-04 07:29:51
0
kelvineliudi
Kelvin Eliudi :
daaaaaaaah hapo nishushee tu kwa maana hicho kitabu kinatafuta maarifa kila siku kinaandikwa kaka kwaiyo hamna kitabu kilicho shushwa hapo bwana yesu asifiwe vijana
2026-11-04 07:23:25
0
brodiebanks_
brodiebanks_ :
Uko Sahihi sana 😂
2026-11-03 21:02:05
0
zan_perfume01
Zan_Perfume 🌸 :
😂😂Allah Akbar skio la kufa haliskii dawa 😂 Usipo slimi ukifa ni motoni t koz ujumbe wa mungu umekufik
2026-11-03 19:31:10
0
To see more videos from user @abelsuleimanshiliwa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About