@kizeddy: Ukiacha jambo kwa ajili ya Allah, Allah atakupa bora zaidi 🤍 مَنْ تَرَكَ شَيْئًا لِلَّهِ عَوَّضَهُ اللَّهُ خَيْرًا مِنْهُ Hii ndio ahadi ya Mtume ﷺ. Sio hasara kumuacha mtu, kazi, au dhambi kwa ajili ya Allah. Ni faida..., Allah haachi kitu bure, Anakupa kilicho bora zaidi kuliko ulichoacha. Ewe Allah tujaalie kuacha kila kisichokupendeza 🤲 #muslimtiktoker #islamicreminder #fyp #kizeddy🕊️🤎 #gooddeeds