@tikto710193: usiambiwe ukweli we nani 🤣🤣🤣

mr. fungala kwakie
mr. fungala kwakie
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 13:56:24 GMT
16533
951
38
9

Music

Download

Comments

grace_kija
grace_kija :
baaaasii wamekwishaaa
2026-11-04 15:06:54
0
sadara__tz
sadara Tz :
kazi wanayo
2026-11-04 07:55:06
7
juma.jonas2
Juma Jonas :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uto mtuvumilie jamn mwaka huu tutawaua kabisaaa
2026-11-04 20:24:50
1
mwanaa3439
mwanaa Ali🇹🇿 ♥️ 🇵🇸 :
Heee
2026-11-05 05:57:02
0
husseindhm8
MILITARY26 🇮🇷 🇮🇷 🇮🇷 :
ibidi ikacheze na yanga hapo walio omba wamekosea aisew[Thinking]
2026-11-04 16:46:45
2
fatmamohamed23539
Fatma Mohamed :
tareh ngap hiyo😂
2026-11-04 15:27:27
1
tabithajohson3
Tabithajohson :
Uwiiii hii simba mwenzenu itaniua kwa hiz raha mana halijaisha hili washaleta lingne we we we🥰🥰🥰🥰
2026-11-04 19:07:46
0
benard.yahaha
Benard Yahaha :
2026-11-04 04:36:39
0
sadicki.lukumay
sadicki lukumay :
NIKO KENYA NITAKUJA KUONA CHAMA LANGU. LA NYUMBANI
2026-11-04 17:11:08
1
mlaki.tz0
Mlaki Tz :
mmmmhhhhhh 🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️tutaenda nayo tumu yetu
2026-11-04 19:15:02
0
pudensianakway
pudensian :
wamekwishaa😁😁
2026-11-04 18:45:10
0
user4803248403256
James odhiambo :
ahsante
2026-11-04 10:09:39
1
07kipegwa
𝚔𝚒𝚙𝚎𝚐𝚠𝚊 𝚣𝚝 :
ila hili simba
2026-11-04 12:16:35
0
mweruempiredigitalservic
Mweru Empire :
Yanga je😂😂😂😂
2026-11-04 14:28:16
0
user8839612398173
Jesca :
2026-11-04 13:40:01
0
ismail.tz2
Simiyu Tz :
2026-11-04 02:49:44
1
godismystrenght11
@Godisgreat+ :
Kwa hiyo wewe ulitaka wawaalike akina Masumbwi FC ambao wakifungwa sababu ni kila kona?
2026-11-04 12:33:34
1
alex.sichone4
Alex Sichone :
ule syo uwanja wa politics had vyura waalikwe. Wamalikwa timu ya mpira
2026-11-04 12:17:52
3
shakiramduda8
shakila Mduda :
nyuma mwiko kama nawaona wanavoteseka
2026-11-04 10:06:50
3
josephmasha956
Joseph Masha :
🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪wanaenda kusin kufungua kadi ya kliniki wao majirani
2026-11-04 06:22:54
3
vanillaanaely
vanilla 🇹🇿 🇴🇲✝️🦁🦁 :
kidimbwi wako wapi au wanajiandaa kutoa taarifa kwa uma🤣🤣🤣
2026-11-03 14:46:11
0
clemencemlowe7gma
KING MLOWE SANDALS 👑👑 :
tunaomba mechi ya kirafiki na Kenya police 🤣🤣
2026-11-04 08:26:40
0
chacha61135
CHACHA🇹🇿 :
hahahahaha kama nawaona nyuma mwiko
2026-11-04 05:59:21
0
chacha61135
CHACHA🇹🇿 :
2026-11-04 05:59:26
0
pascal.masaka4
PASSIAS :
kachezeni kawaida msilete mchezo kama wa yanga mkazalilishe watu kwenye nchi zawatu
2026-11-04 20:09:34
0
To see more videos from user @tikto710193, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About