hiii tabia ya kuwachukua video kaka sio nzur nawaomba musiwazalilishe wazee wetu kwa misaada ya mchele mitandaoni
2026-11-10 16:18:36
1
manga :
Dahh zanzibar kuja njaaa Smchezo
2026-11-10 15:29:48
1
ruurama :
sasa apo wanapika vipi jamani mtu ana watoto 5 mpaka 7 unampa kilo moja jamani
2026-11-10 15:15:50
0
ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR. :
2026-11-10 11:16:44
1
Wesley (Heavy Duty Mechanics) :
kwamba vitu kwa ushahid au ila shida hizi basi tu
2026-11-05 08:03:33
1
GEDE SACHA🥰😍 :
mashallah 🥰
2026-11-07 04:39:52
1
Omar Salum479 :
Iko wapi zanzibar ulokuwa tukijisifu nayo na kujipiga kifuwa Daaaah roho inauma Sana
2026-11-10 15:12:05
0
muhammedzubeir :
Huu mtihani pembe la vitumbua ee yaarab usituazibu kwa makosa wanayo fanya wengine
2026-11-10 19:20:37
0
boy :
Muonekane kuwa mumetowa kipolo kimoja cha mchele kwa kijiji kizima Au kuzalilishana ,,,Acheni kuzalilisha wazee wa wenzenu Makamera hadi tictok,,Halafu ni Mshwahili uyoo 😏
2026-11-10 19:54:11
0
...chichy🥀⚘️... :
kalib zanzbar hakun matat😂😂😂😂
2026-11-10 21:30:37
0
MAPARA :
so kweli hizi ni zarau kabosa
2026-11-10 20:50:32
0
Ukhty Wasila tz😍 :
😳
2026-11-10 20:12:05
0
user8722512466383 :
ao wageni wanunulisheni mbea ,pembeni la nini
2026-11-03 19:17:43
0
To see more videos from user @usermomizanzibar, please go to the Tikwm
homepage.