Me ndo maana huyu natak awe somo yangu😂😍anasema ukweli vip
2026-11-04 06:52:01
2
chum :
Tupe bei dada tununulie vitoto vyetu
2026-11-04 05:34:02
7
🦋Cute mam🦋 :
bei sasa jamn
2026-11-03 18:36:17
3
Khairaty :
shingap dear
2026-11-03 18:34:31
2
Nadhifa Kassim :
da de lin upo k koo
2026-11-03 19:04:58
3
it's Merry Mars 🌸🍓 :
mi mwenyew ni single m sipendii wanavyotiaga huruma nakwazika San tupambane tufanye kazii unabakii unatia huruma unalalamika miaka inAenda 😒😒 kutoa huruma sio kusaidika kujidharirisha tuu unaishia kupewa polee na wanakujadili pembenii bila kukupa msada tujitambuee
2026-11-05 06:06:33
2
Nice one :
Sikufahamu ila nakupenda sana
2026-11-04 05:38:51
1
fetty :
na ya nywele deeee
2026-11-04 06:54:47
1
Grace :
Dee samahani nashida ngozi yangu imealibika nilikuwa na weusi mzur ila nimepata chunusi
2026-11-03 15:19:10
0
Nica Cosmetics :
kuna hyo na epmax
2026-11-05 17:54:36
1
sallo.David :
nataka namm shingapi?
2026-11-09 07:59:05
0
Nuratyamiry :
mi naitajii jmn mwanangu anachangamoto ya ngoziii Anatoka mpel mnoo
2026-11-04 12:20:48
1
beatricelucas7 :
mi ameniambia mama mkwe wangu kuwa mtt na mama ake
2026-11-06 21:33:37
0
nuraty :
bora umexema dada
2026-11-06 18:48:56
0
shaa🦋 pochi👜 :
shingapi dee
2026-11-06 10:32:38
0
filolisa :
unayauzaje bby
2026-11-04 14:55:33
0
zawnocent :
da Dee samahn dawa ya kupunguz nyonyobei gani
2026-11-07 09:45:14
0
Sophyizzy Marcello :
😂😂😂😂😂😂
2026-11-04 07:28:24
0
مريم :
Haya mafuta ni mazuri mtoto anakua na rangi nzuri anang'aa yani anakua ana glow kitoto afu ngozi inakua haina vipele na laini
2026-11-04 12:08:09
0
MaryJuice_Point :
Ndo unatuchamba Deeee🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-04 08:32:10
0
shadya ake idd❤️ :
ndo maana nakupenda dee swear unatu appreciate...huruma sio malezi sema tupone
2026-11-04 11:20:33
0
Lilian Maro :
bei husemi
2026-11-09 23:40:21
0
Witness Beatris :
Nakupendagaa weeeee🥰🥰
2026-11-04 13:00:17
0
jojo 😃 :
shingap dear
2026-11-05 16:36:14
0
To see more videos from user @dee_modo_cosmetics_tz, please go to the Tikwm
homepage.