@swaistv: Huyu ndiye PAPA NOËL, gwiji wa muziki wa Rhumba kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Jina lake halisi ni ANTOINE NEDULE MONSWET, alizaliwa tarehe 25 Desemba 1940 jijini Kinshasa. Alijipatia umaarufu mkubwa kupitia kipaji chake cha kupiga gitaa la solo. Aliwahi kufanya kazi na bendi mbalimbali, ikiwemo African Jazz, na mwaka 1978 alijiunga na T.P.O.K. JAZZ chini ya Franco Luambo Makiadi. Papa Noël alifariki tarehe 11 Novemba 2024 jijini Paris, Ufaransa, akiwa ameacha alama kubwa katika historia ya Rhumba ya Afrika. OLD IS GOLD! 🎸 #SwaxMakiadi #RhumbaZaZamani #TanzaniaTikTok #CongoMusic #oldisgold

Swax Franco Makiadi
Swax Franco Makiadi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 15:26:37 GMT
4210
241
4
41

Music

Download

Comments

user19026976845945
BK merchandise :
papa noel nodule 😊
2026-11-04 04:21:48
2
tienne.ngoy
ÉTIENNE TSHOTSHO NGOY :
🥰🥰🥰
2026-11-03 16:49:47
0
alkhattab.umae
Alkhattab Umae :
🥰🥰🥰
2026-11-03 16:54:42
0
To see more videos from user @swaistv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About