@butale_tv: Mkuu wa mkoa Dar es salaam Albert Chalamila ametoa salamu za pole na rambirambi kwani niaba ya waziri mkuu Dr Mwigulu Nchemba leo wakati wa ibada ya kumuaga Mchungaji Dr Charles Sokile katika kanisa la CCC Upanga alipokuwa anahudumu mpaka umauti ulipo mkuta. Mazishi ya mchungaji Dr Charles Sokile yanatarajiwa kufanyika mkoani musoma mjini siku ya ijumaa katika kanisa la Nyakato TAG Mchungaji Dr Charles amefariki akiwa mkurugenzi wa Oxford policy management katika ofisi ya Tanzania. Dr Charles amefanya kazi na mashirika ya kimataifa ya maendeleo, taasisi za kikanda pamoja na Serikali ya Taifa, ikiwemo katika ngazi za juu za ushauri na usimamizi wa programu. Baadhi ya taasisi hizo ni FCDO, UNESCO, Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), pamoja na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ya Serikali ya Tanzania. Katika kipindi chake cha kazi, amebuni na kuongoza utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo ya huduma za umma pamoja na tafiti mbalimbali. Ana uzoefu wa vitendo wa zaidi ya miaka 20 katika maeneo ya utawala bora, uwajibikaji, mapambano dhidi ya rushwa, masuala ya kibinadamu, upangaji wa mipango ya kimkakati, maendeleo ya taasisi, usimamizi wa programu na mikakati ya kukuza biashara na maendeleo ya taasisi. Pia amewahi kufanya kazi katika miradi mbalimbali katika nchi za Burundi, India, Kenya, Rwanda, Tanzania na Uganda. Charles ana Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Masomo ya Maendeleo (Development Studies) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.
Butale tv
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 15:28:21 GMT
Music
Download
Comments
user9691609933156 :
best speech short and clear
2026-11-04 11:32:17
3
BUSENG'HWA OG :
umegusia maisha yangu sina mama wala baba mama simujui hata kw sura
2026-11-04 04:16:35
8
Big_ tz 🇹🇿 :
daah leo umsema point baba
2026-11-04 07:56:54
1
elihurumamollel26 :
[Crying][Crying]hotuba nzuri mkuu mama sina baba sina
2026-11-04 04:26:21
4
Golden Touch Perfumes :
Best speech Hn Chalamila. Poleni sana familia😓🙏
2026-11-04 06:18:11
1
Laizer Sam💪 :
one point ☝️
2026-11-04 11:14:59
1
sprianbenson :
Asante kwa maneno mazuli na yakututia moyo kwa maisha ya Duniani na ivo ndivyo ilivyo ubalikiwe sana
2026-11-04 09:49:03
2
Dickson Twaibu :
mkoan musoma polen sana
2026-11-04 11:25:56
1
🔐 :
mkoani musoma ndio wapi huko
2026-11-04 10:58:15
1
Yonah Mbwambo :
this is professional speech itaishi milele 🙏🙏🙏👏
2026-11-04 06:06:19
4
Onesmo kibona :
aisee this is good speech like never before.
2026-11-04 05:23:33
2
invisible man quotes :
kuna kipindi watu wanabadilika wanajua utu ni nini mwenyenzi mungu azidi kukupa huo moyo sio kipindi cha misiba tu
2026-11-04 04:38:36
3
Honoratha :
Hakika umegusa mioyo ya watu wengi kwa spech mzuri mno Barikiwa sana
2026-11-04 08:18:34
1
Smart Brain 🧠 Always Win :
Very Smart...
best Speech Ever......
NI fundisho Kubwa sanaa kizazi hadi kizazi
2026-11-04 03:35:47
3
Oiler@tz :
leo umeongea maneno mazuri na mazito Mh. Chalamila
2026-11-04 05:00:05
2
Joseph chumi :
dah! loe chalamila kaongea jamani katutia moyo kwakweli 🙏🙏
2026-11-04 08:07:02
1
Bahat Sinkamba :
amina mh
2026-11-04 08:57:11
1
Bariki Paulo :
amen
2026-11-04 08:55:34
1
Esther collection :
AYUB 1:21Bwana ametoa na bwana anetwaa jina la Bwana libarikiwe 🙏🙏🙌😭
2026-11-03 16:16:27
4
Gama Mbukwa Au Niite Maiko :
Asante baba kwa kuwa mfariji wetu
2026-11-04 04:43:25
2
mrmine99_ :
Mh umejua kutoa speech babaa
2026-11-04 07:13:58
1
alfredkondowe278 :
Amina Mheshimiwa, wewe ni mtu wa maana sana.
2026-11-04 08:42:57
1
God Mzava :
Yan mkuu namkubali sanaaisee🙏🙏
2026-11-04 06:41:57
1
rauph graphics :
Neno la Hekima sana na linaumiza sana kifikra
2026-11-04 06:53:43
1
LAKAIRO JR🍂 :
short and clear mkuu umeto speech nzuri sana hakika sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi tusichoke kuomba.🙏🙏
2026-11-04 05:33:55
2
To see more videos from user @butale_tv, please go to the Tikwm
homepage.