@wawah95..0: Qur-an Suratul Ghaafir 40:39, Dunia ni ya kupita tu na akhera ndio makazi yetu ya kudumu, ☪️☝🏻Dunia tunaoipigania leo siku moja tutaiacha bila kuchukua chochote Ya allah tujaalie mwisho mema🤲🏻🤲🏻🤲🏻💖🕊️#quranreminder #trendingvideo #muslimreminder #islamictiktok #Akhera