@mhandisi_nyingi: Naomba WATANZANIA kama inawezekana tuanze na Huyu wa DAR🙏🏼🧎🏾‍♂️😌

Mhandisi_Nyingi
Mhandisi_Nyingi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 15:36:52 GMT
170008
11918
248
92

Music

Download

Comments

jymoo888
Jymoo :
duh najivunia kuzaliwa zanzibary alhamdulilh
2026-11-09 18:47:20
4
fetrish72
🍁🦋MR'S ALHAJ💞🌸 :
huyo abuuu mdogo wangu kabisaaa kaka katoroka nyumbani huyooo
2026-11-04 09:20:53
95
fadhilikiduba5
Fadhili Kiduba :
huyo alommiss mdogo ake baba yake mama yake kaongea Kwa hisia Hadi machozi kama kuna namna ya msaada awafikie family yake🥹😚😭
2026-11-08 16:40:12
50
esry.henry
Esry Henry :
hiii video bro imetaka kunitoa machaz daaah so sad 😭😭
2026-11-09 21:24:04
0
beatha2580
Beatha seleman :
dah NUMEJIKUTA NALIA TU
2026-11-10 09:04:47
2
samueljohn9733
Samuel John :
amemis mdogo wake mama baba mwisho anafuta machozi nakuomba bro muunganishe na familia yake amejifunza
2026-11-05 03:33:38
19
user2974981704070
baby girl 💞💕👩‍❤️‍👨 :
😭😭 cjui kwann ila najikuta tu nalia
2026-11-03 19:19:14
16
user9683613920778
Oli k kyando :
ninauhitaji wa kijna kunisaidia dukani ,Nichagulie mmoja anipeleke kwa wazazi wake nimchukue
2026-11-04 02:40:31
14
anietreshaz
Anie :
dah nnamachozi ya karibu mimi jamani nimelia Kuna siku nimepita maeneo ya kabwe Kuna mtu kamaliza kula kabakisha chakula wakakimbilia mifupa ya kuku wakaanza kula aiseh nililia mpk mwanangu akauliza mama Kwan shida nn dah Mungu nipe uwoze nisaidie ata 1 jamani 🥹🥹
2026-11-04 07:52:07
10
alphanmzeekazi
Alphan mzeekazi :
Broo me nilikuw mtoto wa mtaani pale mwanza buzuruga stand mwaka mzm hatimae leo nashukuru Mungu nina mke na watoto na nimejenga, maisha ya mtaani magumu kinoma
2026-11-04 01:47:54
17
nickson.ndalihaze
NICKSON NDALIHAZE :
yaan mjomb unaniliza kila siku nikiona unavyo hoji watoto hao unanikumbusha maisha niliyopitia 😭😭
2026-11-09 04:54:06
4
user69761173620045
shazuu :
mbna wapo smart sana kiakili haise dah
2026-11-09 22:38:56
3
quampoca
quampo :
woooi thanks brother for havinh time with the little angels. they are do comfortable around you.
2026-11-09 06:23:38
0
neymahcalvin
Neymah :
daah nilikuta mmoja anapingwa na wenzake nililia sana 😭😭😭😭
2026-11-10 01:03:02
0
dionestermwinuka
miss dion :
kaka huyo aliyewamis familia yake nataman nijue wako wap je tatizo ni nin had anashindwa kwenda kama ni nauli tumsaidie tukamwombee msamaha arud kwa familia yake amelia kwa uchungu nakuja Mbeya december huyo aliye wamis ndugu zake kaniumiza sana
2026-11-05 07:35:36
2
dawilly_gene
dawilly gene :
napenda kuishi na marafiki zangu 🥺🥺🥺
2026-11-03 17:13:09
6
njalale2
njalale2 :
kaka icho unachokifanya hakuna mwanadam anaweza kukulipa ila yupo MUNGU atafanya jambo kwenye maisha yako
2026-11-08 20:52:22
1
tiktok.comjudypaschale
J :
kaka mungu akubalik San kwakuwasikiliza na ndugu zetu ao
2026-11-04 21:58:46
0
happyathumani746
Happy Athumani :
daaah moto unauma mungu wasaidie
2026-11-05 11:19:14
0
june.daugher
june daughter ❤❤❤❤ :
wap wapo
2026-11-05 11:37:29
0
dionestermwinuka
miss dion :
nimejikuta nakufuatilia kila siku naumia sana
2026-11-05 07:36:03
0
user6986278703126
mariam asah :
mwe jamani watoto wetu m
2026-11-06 03:56:00
0
harmless95
Harmless 💓🤍 :
kama niliyatoboa naamini Mungu atawafanyia wepesi 🥰
2026-11-09 21:42:33
2
wister.nsagaje
Wister Nsagaje :
naomba mmoja
2026-11-03 19:47:19
3
neemaamosy3
Gee🤍 :
daah huyo dogo alie wamic mdg wake family yake kaogea kwa uchungu sana jamani mungu awatangulie kwakwel
2026-11-09 21:13:46
3
To see more videos from user @mhandisi_nyingi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About