@pxr.wifi.solution: 🕊️💔 TUKIO LA KUSIKITISHA KATIKA SOKA DUNIANI! Mshambuliaji wa CD Tenerife, Jesús de Miguel Alameda (30), amefariki dunia baada ya kupata ajali ya kutisha uwanjani. Wakati wa mchezo dhidi ya FC Andorra uliokuwa unaendelea kwa sare ya 2-2, golikipa Jesús Owono alitoka langoni kuufuata mpira na kumgonga De Miguel kifuani. Mchezaji huyo alianguka na kupoteza fahamu. Madaktari walifanya juhudi za kumwokoa, lakini baada ya kupelekwa hospitalini na kuwekwa kwenye uangalizi maalumu, hali yake ilizidi kuwa mbaya. Asubuhi ya Novemba 3, 2026, klabu yake ilithibitisha kifo chake. 💔 Dunia ya soka imepoteza mwanamichezo akiwa bado katika umri mdogo. PUMZIKA KWA AMANI, JESÚS DE MIGUEL. 🕊️ #RIPJesusDeMiguel #FootballNews #BreakingNews #Tanzania
PXR WiFi solution tz✅️
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 15:45:42 GMT
Music
Download
Comments
Ewald moshy 😎 :
Rest easy
2026-11-03 18:44:40
0
To see more videos from user @pxr.wifi.solution, please go to the Tikwm
homepage.