wanatumia Whatsapp ya kimataifa ambayo tunatumia watu wakubwa kubwa kama mimi na samia Donald trap na iron mask😂😂
2026-11-03 18:43:46
9
K. EFB PRO :
Bora nmepata mwenzangu
mm ata niweke saa nane usiku mwamba wa kwanza😂😂😂
2026-11-04 10:19:05
5
Lyric Flicks🎶 :
Make apo kwanza nicheke😂
2026-11-03 17:22:41
2
Jr da santos :
::Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
2026-11-03 23:13:32
5
queen😜 :
ndo unatutangaza huku sio 😔
2026-11-04 06:25:51
0
nazzy@ :
Ramsoni
2026-11-03 16:28:18
0
MILITARY26 🇮🇷 🇮🇷 🇮🇷 :
Kumbe tuko wengi nikajuabpekeangu aisee[Snicker]
2026-11-03 18:13:21
3
PETER.A.SANGA~26✊ :
bot 🔥😃
2026-11-04 12:10:45
3
JΔJ ΔLPHΔ🐁♎📍🕸 :
anatumia gb whatsapp au anatumia bot
2026-11-03 18:34:13
1
Collins😎 :
TikTok whatsap inaitwa😂
2026-11-04 11:29:32
1
🫅@it's KINGS OF MWANZA 🫅 :
bot hizo za whatsaap
2026-11-05 09:23:34
1
grant.jr :
BOAT
2026-11-03 17:10:10
1
Mimah D❤ :
wanatumia wasap ya kenya
2026-11-03 17:27:33
1
kiddkiddmamen :
MADAM OLIVA UYO
2026-11-05 13:45:16
0
LKM.TREINO :
hizo ni bots kakaa
2026-11-08 19:01:29
0
🍂𝐌𝐚𝐫𝐢𝐚𝐦 𝐀𝐮𝐫𝐚 ⟡🥀 :
jmn hata kwangu ndo hivohivo mara iwe emoji ya fire
2026-11-04 20:40:56
0
L.U.C.K.Y 👑 :
hizo no setting tu broo
2026-11-07 06:18:03
0
Ziyech 🌴🌀 :
hiyo ni boot kaka 🌀
2026-11-08 09:45:34
0
Samwel Clinton :
adi mm yan kha
2026-11-03 17:46:32
0
To see more videos from user @kakawataifa, please go to the Tikwm
homepage.