@uhondo.tv: Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amebishana na Makonda kuhusu ujenzi wa viwanja vya michezo kwa ajili ya michuano ya AFCON. Waitara ametoa kauli hiyo wakati akichangia taarifa za Kamati za Kudumu za Bunge za LAAC na PIC kuhusu ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za miaka ya fedha iliyoishia Juni 30, 2024 na Juni 30, 2025. Una maoni gani kuhusu hoja ya Waitara?
Mnampinga huyu Jamaa lakni Pale Arusha pesa iliopigwa 🤦♂️🤦♂️🤦♂️🤦♂️🤦♂️🤦♂️🤦♂️
2026-11-03 17:16:45
11
japanlife :
waitara yupo sahihi Kila mwaka uwanja wa mkapa unqfungiwa na caf na tunaambiwa mabilioni yametumika kufanya marekebisho baada ya muda Tena tunaskia caf wameugungua tena
2026-11-03 17:13:02
4
Maximilian Masina :
mbona mtoa mada aeleweki. kuna kiwanja cha ndege cha caf
2026-11-03 16:58:50
2
elias nguka :
Kuhusu madudu mbona ajajibu yeye anaongelea viwango vya CAF aise
2026-11-03 18:39:06
1
KasangaEthan :
safi kabisa Waitara
2026-11-03 18:06:29
1
voisaclassic92 :
waitara mbona anaruka sana mwanzoni kasema viwanja havina ubora akajibiwa kua caf wamepitisha uwanja wa arusha umekidhi kahamia tena kwenye gharama
2026-11-03 18:46:36
0
Ramiraji Mpenda :
fact
2026-11-03 19:47:12
0
mme wamtu :
ishu ni matumizi
2026-11-03 19:45:13
0
chk :
Pesa imepigwa
2026-11-03 18:33:53
0
Di lorenzo💰 :
Kama ni maelekezo ya cuf mbona msijenge muundo mmja kweny ptch
2026-11-03 18:00:41
0
clintonjohn33 :
Ila hii nchi, kwahyo apo ndio imeshajibiwa imeisha hvo 🤣🙌
2026-11-03 17:54:24
0
@brahm juma :
et bara letu la afrika😁😁😁
2026-11-03 18:02:10
0
Godfrey Wakaz :
Makonda hoja ni repot ya CAG
2026-11-03 17:57:39
0
kabisa :
Unaulizwa gharama za ujenzi simekiukwa
2026-11-03 17:25:55
0
Vishan Big :
Wizi ni mkubwa sana sana
2026-11-03 17:52:42
0
Mtumishi Paul Mwijage :
najitazamia😅😅😅
2026-11-03 17:34:15
0
Mr Thinker :
hayo ndo yalifanya uwanja wa mkapa ukajengwa kwa 60bilion halafu ukaja kufanyiwa marekebisho kwa 61 bilion
2026-11-03 17:23:18
9
innocent Kessy :
Tanzania yangu nchi yangu 😌😌😌
2026-11-03 20:00:34
0
Amani Gilberth12 :
Waitara mitano tena
2026-11-03 17:27:13
0
tanzaniasafariltd :
Makonda anajibu ujinga😂
2026-11-03 18:09:33
2
PACIENTE TRADING :
SASA MMEBAKI WENYEWE SIJUI MNAFANYAJE 🤣🤣🤣
2026-11-03 18:18:24
1
Nicholaus 0710364761 :
aaaaa bassss mwakani huna ubunge tena kwa hali ilivyo sasa ukisema ukweli hutakiwi
2026-11-03 17:05:01
1
isanga :
we ushawai kuwa waziri hutukuona mchango wako kwa jamii
2026-11-03 16:59:01
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.