@emmanuelkonda89: โJESรS OWONO AMEMUUA JESรS DE MIGUEL!โ ๐ณ๐ Hiyo ndiyo kauli inayosambaa kufuatia tukio la kutisha lililotokea katika mchezo wa ligi ya Hispania kati ya FC Andorra na CD Tenerife, ambapo kipa Jesรบs Owono aligongana na mshambuliaji Jesรบs de Miguel wakati wa kuwania mpira. Tukio hilo lilisababisha De Miguel kupata mshtuko wa moyo (Cardiac Arrest). #JesusOwono #JesusDeMiguel #FCAndorra #CDTenerife #LaLiga2
๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 15:52:22 GMT
Music
Download
Comments
officially.drbushy :
head injury or arrested heart
2026-11-03 18:20:14
0
Kiri Gamer 254๐ฐ๐ช :
it's an accident bro
2026-11-03 17:49:14
2
Benard :
Ni ligi ya nchi gani?
2026-11-03 17:24:43
1
joantho smart man :
ni matatizo ya kiafya
2026-11-03 17:19:49
1
MSUNGUJR ๐น๐ฟ GAME ๐ฎ๐ฎ :
HAPO KUNAMAMBO HAYA ๐ค
2026-11-03 15:56:18
6
adogado :
sio kamuuwa amekufa
2026-11-03 17:49:46
1
Lameck :
naulizia kuhusu huyo kipa anapata adhabu gani
2026-11-03 17:54:09
2
JรL*STARโญ๏ธ :
so sad ๐
2026-11-03 16:35:16
1
Amos Nyamaka :
ulikuwepoo
2026-11-03 17:53:07
0
Mtu Mweusi Zaidi :
hii lini hii
2026-11-03 18:23:36
0
prince kabwe๐ฝ :
2026-11-03 16:02:04
0
joshua fire๐ฅ๐ฅ๐ฅ :
jus
2026-11-03 17:02:56
0
danger zone :
du so sad bro
2026-11-03 16:02:58
1
Fadhil Abel :
sawa docta๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
2026-11-03 16:59:44
2
CHOIXE 26 STORE :
sio kadik arrest ni cardiac arrest mchambuzi
2026-11-03 18:16:04
1
Djy Beluga Mix :
na uyo kipa alitoka mbona ni kati ya uwanja?
2026-11-03 17:05:10
0
dee santos :
aja muuwa iyo ni ajari ya mchezo kuwa makin na maelezo yako broo
2026-11-03 17:50:16
1
meda :
hiko kifaa kwenye ligi yetu ya bongo hamna hapa wao wana FVS tu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-11-03 18:37:29
0
yeshi :
๐๐๐
2026-11-03 16:20:27
2
Berosha :
๐๐๐
2026-11-03 16:57:48
1
To see more videos from user @emmanuelkonda89, please go to the Tikwm
homepage.
ยฉ 2021-2026 TikWM. All rights reserved.