@lutystar3: KILIO CHANGU Part 109 Je, unadhani nini kitatokea baina na Damas na Dorian, Mama Dorian na Baba Dorian? #1millionstories #viralreels #storytime #lutystar #africanstories
Lutystar
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 15:57:04 GMT
Music
Download
Comments
sofi mom :
unajua nn mimi move naipenda lkn kuna k2 kinakosekana hao wanandoa hawajawahi kugombana kuna uhalisia unapotea
2026-11-03 16:10:33
7
Jenny the lover girl🥰 :
♥️♥️♥️nimeipenda luku ya Evans na dem wake♥️♥️
2026-11-03 18:43:38
2
Glory mwana :
next plz
2026-11-03 17:25:53
0
Barkiss :
Mnogeshe enjoy hadi dorian haone wivu
2026-11-03 16:10:41
5
arcade :
next please
2026-11-03 18:15:03
1
Teeh_💞💞💞 :
Eeeeeeh ngoja nijifunze kuwa romantic kutoka kwa nadia😂😂😂😂
2026-11-03 19:10:02
0
winnie mwaluga :
mama dorian kila siku anakunja nguo
2026-11-03 16:46:26
4
mnyama pory :
director nae katokea wapi kwenye kikao Cha familiar
2026-11-03 16:31:03
0
nyamkinda 25 :
isiishe hata season 2ikiwezekana iwepo
2026-11-03 16:03:30
4
Steve star :
Niko na number mzuri lakini wacha tupatane na wenye wametagulia Kesho
2026-11-03 16:08:27
3
Theophilis :
next party
2026-11-03 16:48:16
1
SteveSiame :
next next
2026-11-03 18:58:00
0
T@😘 :
wakwanza leo 💃
2026-11-03 16:01:53
3
#jackie ajiambo :
next[Pray][Pray][Pray][Big LOL][Big LOL]
2026-11-03 16:14:26
2
brendamurugi :
napenda venye enjo huwa anavaa[Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-03 16:11:54
4
micky :
adimin mfanye Sami ambake precios
2026-11-03 16:30:53
0
Tzmetisse :
rinasubir sana story nzuri.
2026-11-03 16:57:48
1
user936512086213 :
next please
2026-11-03 16:09:59
2
Sophia kimaan :
next
2026-11-03 16:13:52
1
𝕀𝕟𝕟𝕖𝕣 𝕊𝕠𝕦𝕝 ❤️🦋 :
Hiii ipo mpk 1000 na bado kuna season2
2026-11-03 17:01:38
1
mediane :
next djamani 🇨🇩
2026-11-03 16:17:41
1
user4633196233102 :
nadia anapendeza
2026-11-03 16:10:25
1
Ommy mshana :
Fatima ukweli umefahamika👍👍
2026-11-03 16:08:57
1
eloge la fille simple :
nilivio vumilia hiyo picha Tangu mwanzo naona kabisa siwezi shindwa kuvumilia ugnumba
2026-11-03 16:14:57
1
To see more videos from user @lutystar3, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.