Tatizo ni chadema,walibinafisha viwanda na mashirika ya Umma,nchi ikatopea kwenye umaskini!
2026-11-03 18:17:11
15
🤝 :
Nyerere aliwapa watu vyeo vsvyo endana na walichosomea na hapo ndo alipo sababisha kudorora kwa mambo yote
2026-11-03 17:57:28
9
easye :
socialism never develop any country
2026-11-03 18:51:25
1
brayoo :
Kuna watu wanaijua hii nchi nje ndani
2026-11-03 18:21:22
11
Frank jr :
leo mzee kaongea ukweli kutoka moyoni
2026-11-04 10:54:15
5
Bura :
mkoa wa kilimanjaro amesahau Tanganyika Coffee Curing
zao la kahawa limekufa
2026-11-03 17:45:46
4
mgana :
vita vya kagera havijatuyumbisha kidogo kiuchumi muheshimiwa .?
2026-11-03 16:42:27
1
abuomari4 :
huyu ni misleading watu kila mara sifa yake ni propaganda uzungumzaji ndio sifa zake Kweli alihujumiwa ndio kashindwa kusimamia Maneno yake ni mengi na makosa yake ni mengi
2026-11-04 02:33:28
1
Mpinga_aL Capone :
Nani aliyemuhujumu...?
2026-11-03 21:00:45
1
Pearson Hardman :
je magufuli city?
2026-11-03 18:13:47
1
peki :
ni akina nani hao waliomuhujumu mwalimu na kwanin haluwadhibiti na kuwawajibisha ?
2026-11-04 03:47:55
0
chaka :
hao waliomuhujumu mwalimu walikuwa kina nan?
2026-11-04 17:39:01
1
Engineer :
swali langu iyo kenda inatumika kama namba ngapi
2026-11-04 03:18:11
0
Peter Huruma Mammba :
Kuhujumiwa ni mojawapo ya kushindwa!.
2026-11-03 18:53:07
4
jonelsimion :
Kwani wahujumu wanasemaje?
2026-11-20 17:16:54
1
Raphael Donald :
Nyerere aliku na uchungu na Tanzania kila sehemu kilikua na viwanda kama tungeendelea kupata viongozi waadilifu tungekua mbali sana
2026-11-04 08:03:43
2
zabron magoti :
wewe ni hazina ya taifa haya yote vijana hatuyajui halafu Kwa bahati mbaya hatuambiwi na Wala hatufundishwi shuleni
2026-11-03 19:32:57
2
standardspeed66 :
Mwalimu mwaka 1985 wakati anang'atuka aliacha viwanda 65 vyote alivijenga kwa kupitia kilimo hakuchimba dhahabu,Makaa ya mawe, Gesi Wala mafuta kufika mwaka 1995 wakt Rais mwny akiwa madarakani vilibaki viwanda 12 na ktk hivyo havikuwa vikifanyakazi vyote so far unaona namna gn alikuwa kiongozi imara hebu tuangalie leo hii vyote hivyo tunachimba lakn Taifa halina mwelekeo wowote mradi wa brbr wa njia sita kutoka mbezi mpk kibaha umechukua karibu miaka mitano😭😭😭😭
2026-11-03 21:05:03
2
betrayal :
lindi na mtwara tulipewa ujinga
2026-11-04 09:52:45
1
Adio :
Lengo kubwa la wahujumu lilikuwa nini ????
2026-11-03 18:25:33
1
Tom Naabona :
Aliushindwa. Alihujumiwa na akajuhumika. Mengine ni porojo tu
2026-11-03 16:55:50
1
jmalle :
hii yote ni CHADEMA
2026-11-03 18:26:34
2
Madaya Renatus :
Mnahistory nzuri sana, Lakn hamjaweza kuyaishi malengo na mawazo ya mwalimu. Lakn kumsifia mnajua tena mnajua sana.
2026-11-03 18:02:24
2
Alex Gwilla :
Mheshimiwa Pro. John Aidan,Mengo Mwaluko Kabudi ana maarifa na Kumbukumbu nyingi.🤔🙏👏👊💪
2026-11-04 05:10:02
1
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm
homepage.