JESHI LA POLISI LINA WATUMISHE WEMA KABISA KAMA HUYU OFISA WA POLISI. ANAONEKANA KUWA NA HOFU YA MUNGU, NI MWADIFIFU SANA TENA SANA. MWENYEZI MUNGU AKUTANGULIE UKAWE NA MIWSHO MWEMA.
2026-11-06 03:40:14
1
Wazalendo Code 16 🇨🇩🇨🇩💃🕺 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]eti wenye bangi wanyooshe mikono
2026-11-04 05:14:09
0
Frank Mchaki :
Polisi au upolisi ni kazi ya Amri amri tu.
lakini miongoni mwao tena wengi wao 65%ni wachamungu sana tena kwenye imani zote.
Mungu anazidi kuwabariki wale ambao wanaishi kwa kumjua Mungu na kuishi na hofu ya uwepo wa Mungu.
2026-11-06 04:46:05
0
To see more videos from user @pachazadig123, please go to the Tikwm
homepage.