😂Nmejionea aibu maan izo mdada mm ndo mambo zang uwiiii
2026-11-04 08:09:36
7
Tasneem Omar :
umependeza sana. masha Allah
2026-11-04 04:42:57
18
bonespie :
kwa hili dada nadhani ungeliangalia kwa jicho lingine. some pple dont want tbe pressure and tension that comes with nani ame view status yako na pia wengine hawataki kuona kama mtu kasoma message yani ile blue tick. watu wengine wanataka ukisoma mwssage zao hapo hapo ujibu. kupunguza kuwakwaza watu nakujikwaza wewe basi mtu anaondoa blue tick. haina uhusiano na cheating bali ni peace of mind.
2026-11-04 05:54:35
7
Mariam Joseph :
me wakwangu anajipost sana2 me nikipost ananiambia punguza kijipost hii imekaaje😅
2026-11-04 05:04:15
4
abubakaramuri :
kweli kabisa madame ni shida sana
2026-11-03 18:09:14
11
lovely girl♥️ :
last seen nimeificha kwaajili ya madam wangu [Tears of joy][Tears of joy]wee unawajua wanawake wa kiarabu wewe 🤣🤣
2026-11-04 07:58:22
4
Brightstar :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] sijui naficha kwa nini?
2026-11-04 03:27:18
1
yakub kahn :
you have a lot of confidence Masha Allah
2026-11-04 07:44:05
1
Deborah bach :
iyo siyo vitu vietu, tumechoka
2026-11-04 16:09:00
1
shamsa :
dada amenawiri mashallah ❤️❤️❤️🥰🥰🥰
2026-11-04 19:03:41
1
ELy FASHION 💎 :
😂😂 Asante mama 🙏
2026-11-04 09:47:41
1
Kazil :
Ngoja arudi ntaplay mbele yake maana nlishamuuliza hlo swali kwann anaficha
2026-11-04 19:25:38
1
Azzahjumah🍒❤️ :
Leo umewaka saana MashaAllah...
2026-11-04 07:05:10
2
🦋MJ -BOSSLADY 🦋 :
yaani balaa[Big LOL]
2026-11-04 11:10:08
2
Amayra feysal :
Sema wewe dada 🤣🤣🤣🤣
2026-11-04 11:18:38
1
Pendo1Tz :
🤣🤣🤣🤣🤣 layla 💪💪💪
2026-11-04 16:36:20
1
G :
😅😅😅 Du
2026-11-04 09:59:48
1
Farida :
Nakukubali sana Madam 🥰🥰🥰
2026-11-04 08:33:17
1
Al bimany :
😂unavunja vunja dada laila
2026-11-04 07:52:24
1
Arafa Qasim :
Wallah nacheka huku roho inaniuma
2026-11-04 08:43:25
1
afifaomar14 :
Stara
2026-11-03 20:11:07
1
SALHER..💞💞 :
nmecheka kama mazuri🤣🤣
2026-11-03 22:20:38
1
إيلي خانH :
nakubali mama👍
2026-11-03 19:09:22
1
ilkaywrld :
@Madam Leila Ila Unajua Wakati Tunapambana Tunapatana Na Changamoto Bora Tujifiche. Ila Hapo Kwa Mwanamume Akisema Sio Romantic Apo Tutakua Tunazengua Sana.
2026-11-03 20:51:07
1
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm
homepage.