Yan me nataman mtu anikumbatie aniache tu nilie asiniulize kitu
2026-11-03 18:16:44
169
Sada wasuzzy💜💙 :
wachache ndo tutakao kuelewa
2026-11-03 18:35:45
27
_.roxyb :
Kwangu sijui n nyumbn sijui niwapi nmelelewa na BIBI and she is gone now Yupo babu na shangazi duh!huyu ni hapana sijui km hata nikiumwa atakubali nikauguziwe pale kila siku naomba Mungu nisiumwe wala nisiumie
2026-11-03 18:34:41
26
KONA YA UMBEA :
kwaio hata dada hana
2026-11-03 18:29:14
14
Mars Mollel :
Me nawazaga hata harusi yangu yani kama nimesoma kwa shida je mandoa,maharusi dih
2026-11-03 19:10:51
22
Suzy Aron :
Umeniumiza sana dadaangu huyo ni mimi kabisa sijui hata naelekea wapi 😭😭😭
2026-11-03 18:08:42
77
chum👩🎓 :
Nothing to say...ila tusio na nyumbani ndio tunakuelewa[Teary eyed]
2026-11-03 18:59:08
12
Joyce Kyara :
watu hawaelewi Hilo
2026-11-03 18:08:48
35
officialGeee! :
Ni wengi sna hatuna nyumban hatuna mtu wa kutupa bega la kuegemea wakat WA majoz Kuna muda mtu unakaa unatafakari unalia sana 😭😭😭 hongeren sana wenye kwenu na wenye watu 😭💔💔💔😭😭😭😭
2026-11-03 21:07:19
1
Diana🤍💙 :
Tutazikwa ata manispaaaa
2026-11-03 19:19:46
8
carino fitness 💪💪💪 :
tuko wengi atujui tulizaliwa wapi tupo tu atujui tunaenda wapi ujui tutakufia wapi tunaishi kama wanyama porini😭😭😭😭
2026-11-03 21:13:14
0
swaum :
tupo wengi ambawo hatuna nyumbani uwa nalia sana nikiwanza icho kitu😭😭
2026-11-03 18:36:53
6
mama G :
tupo wengi inaumiza sana
2026-11-03 17:17:41
42
Shazuu Unique :
pambana
2026-11-03 19:23:40
0
Irene Davd :
nilijua ni mm tu😭
2026-11-03 18:00:26
19
Jessybella :
Jaman amina nimekumbuka maisha ya mama ako daaah muachen huyu dada alie jmn 😳
2026-11-03 18:04:36
15
Merryma🦋✨💥 :
huyu dada ndo mm kabisa [Crying][Crying][Crying] dah nimeumia sana
2026-11-03 18:23:33
5
Vyombo vya kishua swax :
umejua kuniumiza
2026-11-03 17:36:22
13
miss Eve :
wewe mbona mwana🥰🥰🥰
2026-11-03 17:52:13
6
thebosslady988 :
Mtu kama huyu a mpate mwanaume wa kimpenda kwa dhati ataishi kwaamani na kumuona mumewe kama mzazi wake…pole kipenzi inaumiza
2026-11-03 20:06:55
4
🍒mai :
hua tuna furaha lakini mioyo 8nakua inamengi sina budi allhamdullahi allah ndo ajuae hatima yangu
2026-11-03 18:33:30
0
Euer Augustino :
Nakuelewa kipenzi
2026-11-03 19:14:12
0
user1834322967818 :
Jaman pole kipenzi
2026-11-03 19:36:40
2
P H D jr. :
hakika
2026-11-03 18:17:55
3
To see more videos from user @molionlinetv, please go to the Tikwm
homepage.