@diran_mbunge: Tumerudisha simu @Mwanza Phones dada ameshindwa kumtaja jina babe wake 😂😂 #mwanza #iphone #diamondplatnumz #go

Diran Mbunge
Diran Mbunge
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 16:59:58 GMT
102791
7111
409
258

Music

Download

Comments

shazrakkimz
shazrack Room of quality :
Ukiwa na mtu mmoja hii challenge huipati😅😅😅
2026-11-04 08:31:26
133
nurathy688
Binti Brian :
Mpigie Juma nd anaonekana anavihelahela 😂😂 ila bff 😁😁
2026-11-03 17:51:59
119
s.h.a.m.m.y0
꧁༺ 𝓈𝒽𝒶𝓂𝓂𝓎 ༻꧂ :
Ukiwa na mmoja walaa hutapitapiii😂
2026-11-04 08:04:00
19
ms_cynthian
. :
Nani atatuongoza sala ya st francis😂
2026-11-03 20:12:22
30
travis132v
Travis :
vidada vya siku hizi vinatupanga sana😃😃😃😃😃😃
2026-11-03 19:37:10
41
ms_danielly
norah🦋 :
mi ndo huyo bff😂😂😂
2026-11-03 19:05:55
54
officiallove518
God's🥰Last born ❤️🥳 :
bff kafurahi vp gift kuondoka🤣🤣
2026-11-04 08:59:45
31
mariam_stephano
Miss Mary ♥️🎀 :
Yan haitoshi kuwa wengi, bado anauliza juma yupi🤣🤣🤣🤣
2026-11-04 07:46:25
16
loli.dimpoz
lindah Dimpoz :
Apo sasa [Tears of joy][Big LOL][Big LOL]
2026-11-05 12:34:09
0
user4600554637810
fortune_jr :
kwan wenzetu wanatoa wapi mabwana wa kuwaspoil au sie sala zetu zinaishia njian jaman 😳💔
2026-11-03 21:02:52
12
aziza2000655
Azizacute :
Nachoka
2026-11-05 14:14:46
0
bigthinker6
bigthinker6 :
mi nilijua tu hata kabla ya kupost hii wadada wa Barba shop😅😅😅 Angelikuwa wa kwanza Tanzania nzima
2026-11-03 19:39:11
8
athumanchujji
Ochu Ochu✨💫 :
uyu dada kalinda penzi ajaangalia mambo ya pesa wa iphone
2026-11-04 15:44:56
5
gloryrichard180
twiny :
next plz
2026-11-04 13:47:19
0
valentine7544
valentine :
BFF juma gani ana vipesapesa😂😂
2026-11-03 17:25:39
11
ginah0891
ginah :
Ukiwa na mmoja anakaa kimya haleti hata vizawadi 😀😀
2026-11-04 14:18:14
7
mama.glory.kimath
Mama Glory kimath :
Rafik yangu angenuna
2026-11-04 02:12:15
6
mom.g52
itz_. dat.gal :
Mimi ndo uyo bff 😁😁😁😁
2026-11-04 05:10:47
5
mwajabu.fadhili5
jike shupa🥳 :
mi ndo huyo BFF 😂
2026-11-03 18:09:23
5
doricefits
Dorice💕 :
hukiwa na mpenzi mmoja hata hizo zawadi hazijigi
2026-11-04 11:20:21
0
thedy705
Teddy 🌺 :
Tukipata bff Kama hawa tutafika mbinguni kwa kishindo cha wakoma
2026-11-03 19:34:47
3
minzha27
minza kidoti💞💍 :
huyu mdada namjua mmh sawa 😂😂
2026-11-04 13:35:46
3
_.mymartha
my martha 💕 :
na ndomara mi namganda yule mmoja hata zawadi ikija sitaikosa namini
2026-11-04 07:04:57
4
user7478517763631
user7478517763631 :
ongea chap chap Mkewanguu asielewe unachokizungumzia maana achelewiii
2026-11-05 10:27:40
1
To see more videos from user @diran_mbunge, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About