@nyotaraystv: Bunge la 13 Kikao cha Tano kikao cha sita. Kwa undani zaidi wa taarifa hii, tufuatilie YouTube Nyotarays TV. Kwa huduma za:- .Event Management .Large Printing .Branding .Documentary .Advertising .Live Streaming .PR & Marketing .Videography & Photography .Online TV Tupigie +255 659 868 592
😭😭😭😭Nipo hapa nadai areas za miaka 15 na watu kila siku wanalipwa,Haki Iko wapi🙆 roho inauma sanaa
2026-11-04 19:19:47
1
5Gsistersmum :
Kuna Maafisa watendaji, Kuna Maafisa kilimo na mifugo Mungu awaone
2026-11-04 14:39:49
6
salome _thobias :
Mwenyezi Mungu akutunze tuu mimi sina maneno mazuri ya kukwambia unafanya kazi usiku na mchana extra unalipwa sh 10000 kweli Mungu tuu akutunze kiongozi
2026-11-04 11:25:46
1
Isabella Bigendako :
Nadai Areas 2019..nitalipwa Mbinguni na Nguvu ya kazi unaipata wapi.Mbunge Tutetee Wadog Zako.
2026-11-04 16:44:39
0
scholermagembe :
point Mungu akutunze maana umeona mbali sana
2026-11-04 13:57:09
2
""The Matthew Jr"" :
Walimu wanaumiza raia tu,kila siku wanatunga michango ya hovyohovyo.Na wao wamekuwa mafisadi na kabakaba wa wananchi wasio jiweza 😢😢
2026-11-04 19:37:06
1
SHITACHANG'WA JR :
hatupandishwi hata madaraja kisa ess
2026-11-04 18:35:36
1
merinankullua :
Hatupati stahiki zetu kama miongozo inavyosema,ukiwa unadai unasumbuliwa kila siku upeleke document halafu hakuna kinachofanyika.Bado tunakatwa kadi kubwa ,ni mateso sana hasa huku Tamisemi
2026-11-04 17:46:38
1
Neylight :
Tumepata mtetezi🙌
2026-11-04 19:27:25
1
Drleon008 :
hawapendi kuambiwa ukweli 🤣😂
2026-11-04 14:31:46
1
Bahati Ilunde :
jamani kama mm pia
2026-11-04 08:17:33
1
Apple User387597 :
Jamani point muhimu hizo lkn je utekelezaji unasemaje😩😩
2026-11-04 09:42:09
1
ATHANAS KAMUGISHA :
sema kweli, hata huku mbogwe idara ya kilimo & mifugo ni changamoto.mkuu wa idara analipa anavyotaka kana kwamba pesa ni za kwake binafsi.
2026-11-04 07:55:09
1
Said Kalokola :
Mnaongea mambo mazuri lakini kila siku nyimbo ni hizo hizo, ongeleeni maji tunateseka Mwanza Mwanza.
2026-11-04 03:47:48
1
MWAISA HOUSE OF JEANS :
Mimi Nadai areas yawaka 2009 mpaka Leo
2026-11-04 18:05:34
0
eunice :
Wahurumieni watoto wetu jamani ndio wanaoelimosha watu wa taifa hili
2026-11-05 06:25:49
0
rock city mwanza :
mma 2030 achana na fomu ya ubunge wew ni mtetezi wa taifa chukua fomu kuu ya rais
2026-11-05 05:35:46
0
user6361774298115 :
tumepata mtetezi......aaaah kumbe ndy maana nimelipwa mwezi huo umepita baada ya miaka 12 ya madai. Chakusikitishaa, pesa unalipwa ile Ile kweli???
Thamani yk inakuwa imeshuka kiukweli......hebu waliangalie na hilo.
Viongozi, mthaminishe madeni kwa hali ya Sasa mnapolipa madeni ya watumishi🙏
2026-11-05 05:07:50
0
A golden boy :
Mungu akibariki
2026-11-05 04:33:39
0
TULLY COTTON CLASSIC :
Kunywa 🥤
2026-11-05 04:22:35
0
ROYAL SHEHOZA@@@ :
acha tuu
2026-11-04 20:34:14
0
To see more videos from user @nyotaraystv, please go to the Tikwm
homepage.