@dizzymedia_: Zaidi ya Nyumba 30 na Kaya 80 zilizopo Mtaa wa Nzovwe Kata ya Nzovwe Jijini Mbeya zimebomoka baada ya Mvua iliyonyesha kwa muda wa Dakika 10 na nyumba hizo kusombwa na maji yaliyoshindwa kufuata muelekeo wake baada ya mtaro wa awali kuzibwa na mkandarasi anayejenga barabara kuu ya tanzam ya njia. Baadhi ya wananchi walioathirika na mafuriko hayo wameeleza namna walivyokumbwa na mkasa huo, huku wakieleza hofu yao kutokana na uharibifu wa nyumba na kupoteza makazi kufuatia mvua hiyo ya muda mfupi. Akizungumzia chanzo cha mafuriko hayo, Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Nzovwe, Edwin Mwangonji, ameeleza namna kuzibwa kwa mtaro wa awali kulivyochangia maji kukosa njia ya kupita na kuingia katika makazi ya wananchi. Kwa upande wake, Diwani wa Kata ya Nzovwe, Leo Mwakapila, ameeleza takwimu za madhara yaliyobainika baada ya kutembelea maeneo yaliyoathirika, huku Polisi Kata, ASP Charles Joseph, akieleza hatua zilizochukuliwa katika kuwaokoa wananchi waliokumbwa na mafuriko hayo.
dizzymedia_
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 17:49:16 GMT
Music
Download
Comments
cntahsanga :
tulivokua tuna kejeli elnino sasa[Embarrassed]
2026-11-03 21:07:53
0
Aikande fashion🦋🧸❇️❇️ :
Shida ya nzovwe nyumba nyingi ni za tofali mbichi....poleni sana waathirika
2026-11-03 19:09:09
32
agastorkasola :
polen blaza
2026-11-04 02:58:37
0
Mwana Ally :
poleni
2026-11-04 03:20:51
0
Mkuru WeMazuva :
maji hayajawahi kusahau njia yake
2026-11-04 02:19:39
2
engineer :
wekeni mambo sawa sasa hiyo ni majaribio ya elnino
2026-11-03 19:54:58
9
different :
nawatumia pole zangu za dhati. Nakuwaombea faraja, amani, na nguvu katika kipindi hiki kigumu kwenu, Allah awape subira na utulivu.” inshaallah
2026-11-04 04:32:59
1
wajuba gas MBEYA TOWN :
asee leo ilinyesha dakika chache lkn balaa lake asee ilikuwa sio poa
2026-11-03 19:06:41
6
🌸 ˚₊‧ 𝓘𝓻𝓮𝓷𝓮 ✨ :
Kuna billion 700 zile msijarii soon mnawekewa apartment
2026-11-04 05:01:07
1
people you may know :
kwahyo hapo shida ni serekali au ni mvua nashindwa kuelewa 🙆🙆
2026-11-04 04:00:22
1
JM ELECTRICAL SOLUTIONS. TZ :
si kuna hela tulisha zitenga bs tuhaze kutumia au 😁😁😁😁😁😁 ni bilion ngapi vile tulitenga kwa jili ya el nino
2026-11-03 20:13:57
2
Karii ibrahim🐻 :
Naomba kuuliza Hivi kwanini nyumba nyingi za mbeya huwa hawachomi tofali?
2026-11-03 20:15:42
3
estermadati :
ni mkoa gani huu
2026-11-03 20:34:02
0
❤️baby Nanah 🥰 :
na uku mbeya si tuliambiwa kutakua kukame uwiii uku walisema itakua ya kawaida mungu atusaidie
2026-11-03 18:42:07
5
Missing my mum :
Tunataka ile ya kuokota magari sisi bwana
2026-11-03 19:37:08
0
the last don :
hapo kuna nyumba au matope
2026-11-03 21:30:13
0
Thunderx_0112 :
Tatizo Mbeya watu wanajenga kwa matofali ya udongo na hawatumii sement wanatumia udongo kujengea.. 😥🥹
2026-11-04 01:21:37
0
brina betty :
polen nzovwe yangu🥺
2026-11-03 21:23:41
0
usinishauli utanichanganya😭😭 :
sjui mwanangu kapona uko mana tunaka hapo nzovwe duuh
2026-11-03 18:51:37
0
Cathe nenula :
😂😂😂mbeya mbona wakisema haipo kwenye mikoa yenye elinino
2026-11-03 18:39:47
1
FROLA💓💓 :
Lin iyo
2026-11-03 19:51:02
0
🍒 :
Bado hamuamini
2026-11-03 20:04:35
2
julieoiraf4 :
wana nzovwe wauliza uyole yupo huko kwenu simike kadakia kajib yupo kajaa tele hajasafir hajasafir asafir aende wap...
polen jaman
2026-11-03 19:20:57
2
grace juma :
poleni sanaaa kaka
2026-11-03 19:03:13
0
user1934976041603 :
Heche alisema hakutakuwa Mvua kama hizo na zihaka juu sasa nazani tutaelewana mdogomdogo.Sasa tumsikilize Heche au watabili wa hali ya hewa?.Swali hilo hapo
2026-11-03 19:06:59
3
To see more videos from user @dizzymedia_, please go to the Tikwm
homepage.