@ufr_tz: Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Angeline Mabula, amewataka watumishi wa umma mkoani humo kutowarudisha wananchi wanaofika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa kisingizio cha kutokuwa na miadi. Amesema hayo leo, Novemba 3, 2026, wakati wa hafla ya makabidhiano ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora kati yake na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo, Beno Malisa. Amesema hataki kuona mwananchi yeyote anayefika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa lengo la kuwasilisha changamoto yake akirudishwa kwa kisingizio kuwa hana miadi ya kumuona Mkuu wa Mkoa. Dkt. Mabula ameeleza kuwa mwananchi anayefika ofisini kwake anaweza kuwa amepitia changamoto mbalimbali katika ngazi za chini, hivyo ni muhimu kusikilizwa na kupata ufumbuzi wa tatizo lake.

Uyui FM Radio
Uyui FM Radio
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 17:49:36 GMT
6698
156
10
12

Music

Download

Comments

saidkalokola749
Said Kalokola :
Uko sahihi hapo utatoboa Usiwafumbie macho dada yangu tabora ulienda pekeyako na utaondoka peke Yako, Kwahiyo usiwaamini wenzako. Mungu akutangulie.
2026-11-04 13:00:40
0
anduru147
am14578 :
Hilo.litafanya watu wa chini wafanye kazi Mkuu wa mkoa yuko.sahihi
2026-11-04 05:31:15
0
amisiyusuphmkwama
amisiyusuphmkwama :
hongere Sana hila hangalia watumishi huwa wanawapa kipaumbele yule wao wanaokula nao
2026-11-04 09:51:10
0
user5378078836836
user5378078836836 :
hongera Mama. tukutakie kazi njema
2026-11-04 07:44:46
0
masanjajumamasanj
masanja jjj1966 :
xaf mkuu
2026-11-04 08:00:51
0
kingmabatideales
KING MABATI DEALERS LAKE ZONE :
iyo kazi
2026-11-04 04:49:34
0
user2987169517157
[email protected] :
duh! haya watumishi 🖐️
2026-11-03 20:53:16
0
user7319126820929
user7319126820929 :
uko sawa mama
2026-11-03 20:49:25
0
user4802472255230
Richard alex :
pointi
2026-11-03 18:00:48
0
dhimusha
Dhia muhammad :
🥰🥰💛💛👍👍
2026-11-03 20:05:11
1
To see more videos from user @ufr_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About