@creez_favors_: 💔 Rest in peace, Jesús Miguel. My deepest condolences to his family, teammates, Tenerife and the entire football community. 🕊️ #football #spain
wa taarifa kifo ambacho kimetokea kwenye game yao imepigwa tarehe mbili jana ilikuwa ni game kati ya tene refu na dola sasa bahati mbaya striker watendajiu ujasusi miguel amefariki baada ya kugongana na golikipa wa ndora eh unajua ni instant ambayo kiukweli ukiangalia ile video yaani unaweza ukadhani labda ni paulo ambayo mtu anaweza akaamka lakini jamaa baada ya kuanguka chini hajaamka tena na ndio kafariki na game yenyewe ikawa inaahirisha jana so ni siku ngumu kwetu sisi kwanza wapenda lakini pia kwa watu wa spain mashabiki wa tanerifu eh ndugu zake pia jamaa unajua sio kitu chepesi imaze mtu anaondoka nyumbani salama amekwenda kucheza game alafu kuna bara taarifa amefariki ni kitu ambacho kiukweli kinashtua kinaumiza na sidhani kama kuna shabiki wa soka ana weza kupokea matukio kama haya kwa wepesi sidhani au sio bwana football tutaipenda inatufurahisha na tuburudisha lakini mwisho wa siku inaleta maumivu kama haya hapa unavyofikiria pia familia ya jesus miguel fikiria pia familia ya golikipa ambaye amesababisha matatizo watakuwa wana hali gani ni kitu ambacho sijui nafikiri pengine anahitaji muda kidogo kuweza kulicover saikologically kubali kilichotokea na kuweza kuendelea kucheza mpira lakini inaumiza sana mwisho wa siku maisha inabidi iendelee anasema kila kinachotokea ni mipango ya mungu na ndio hivyo imetokea basi maisha mengine inabidi yaendelee kama kawaida so racing peace ya
2026-11-03 18:42:19
3
MAKAO👑 :
[Crying]RIP
2026-11-03 18:03:19
2
Kambale Justin Isgoma :
pole
2026-11-03 17:59:31
2
To see more videos from user @creez_favors_, please go to the Tikwm
homepage.