@dizzymedia_: Mvua kubwa iliyonyesha jijini Mbeya imesababisha nyumba ya bibi mmoja kubomoka katika Kata ya Nzovwe, hali iliyomwacha akiwa katika mazingira magumu na kukosa makazi ya kuishi baada ya nyumba yake kuharibiwa na mvua hizo. Tukio hilo limeongeza idadi ya wakazi wanaokumbwa na athari za mvua zinazoendelea kunyesha jijini humo, huku hali ya bibi huyo ikigusa hisia za wakazi na kuibua wito wa kutolewa kwa msaada ili aweze kukabiliana na changamoto hiyo.
dizzymedia_
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 18:03:39 GMT
Music
Download
Comments
@lizybby :
Msifanye challenge plz jmn
2026-11-03 18:45:37
89
princes D💋 :
Anachekesha Kama sio bibi yakoo😭
2026-11-03 19:22:47
44
Mom Jayden 💋🥰 :
Bajeti ya elnino c ipoo
2026-11-03 18:50:28
43
TATA BM🦅🇹🇿(Newman) :
GUSA MEDIA UONE BANG ZA BONGO CHALENGE
2026-11-03 20:53:25
0
Mom🩸chan🦋🔏 :
wa Tanzania wasipo tumia hii sauti nimekaa pale hawajuagi matatizo
2026-11-03 18:45:35
14
Nasra H,K omg :
Mungu mlinde mama angu na watoto nyumba ime kreki adi naogopa amna uwezo wakumjengea da nawaza naumia sana 🥺
2026-11-03 19:39:55
12
star47⭐ :
bilion700 ianze kufanya kaz Sasa jaman
2026-11-03 18:47:06
12
NMT :
wale waliokua wanasema ni ongezeko la joto haya madhara ya joto kua kubwa ndio mvua kubwa zinazoweza kuleta mafuriko kama hayo
2026-11-03 20:03:48
0
madam_Enissa :
Baba rose nakuomba useme hiyo mvua ipo mtaa gani tuje kuogelea
2026-11-03 19:41:46
6
TITO🥁🪘 :
sema mbeya Kuna miundo mbinu mibovu sana mitaani
2026-11-03 19:39:06
6
Bff :
Wanyakyusa tumchangie ndugu yetu hata buku buku mwe😭😭
2026-11-03 19:48:54
11
Yustina sng🙏🏽🙏🏽 :
Pole sana bibi [Crying][Crying][Crying]
2026-11-03 19:44:18
0
happinesaman :
jaman bibi anguuu🥺🥺🥺
2026-11-03 18:59:19
7
homange :
yale mabilioni ndio tuone kaz yake
2026-11-03 21:21:46
1
Rebby♥️ :
Daaaaaa so sad pole bibi 😭😭
2026-11-03 18:55:18
0
Ibrahtz :
Usiijali kuna bajeti ya Elinino
2026-11-03 18:42:41
6
daynessmallyo007gmail.co :
nishapata challenge
2026-11-03 19:34:36
0
Selina Daniel :
Pole mama
2026-11-03 18:44:03
0
SUNFLOWER🌻 :
KESHO MSIFANYE CHALLENGE
2026-11-03 20:44:44
0
momlissah :
Kuna watu watafanyia challenge haya matatizo ya bibi🙌
2026-11-03 19:58:21
3
Qram🎱 :
isipo fanyiwa challenge
2026-11-03 19:27:11
3
Helena Mapunda :
pole sanaa mama
2026-11-03 18:46:05
2
Elika :
mvua ndio kwanza zinaanza Pole bibi
2026-11-03 18:43:21
2
Martha🦋 :
pole alumino yetu hiii
2026-11-03 19:39:40
1
Mc nogeshaatz :
Mungu awasaidie wazazi wangu tu navile nyumba imeweka ufaa 🤲na Mimi bado sijafanikiwa ila naimani mungu atawalinda hatoniadhirisha😭😭😭
2026-11-03 20:10:10
1
To see more videos from user @dizzymedia_, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.