@abbh.mnazareth: barabara ipi ni hatari unatamani tuione sote #creatorsearchinsights #createsightinsight #fypシ゚viral__ #iringa#mbeya

Abbh Mnazareth
Abbh Mnazareth
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 18:52:32 GMT
112856
4787
177
53

Music

Download

Comments

user65951273217561
tele kalinga nachombwe💃💃 :
iringa kwenda dodoma kwaiyo hatish
2026-11-04 07:54:35
16
ommy0neofficial
ommy07 :
Nenda Sumbawanga road ya kushuka Muze kule ni shida🙌🙌
2026-11-04 07:49:21
12
dr.yohane12
yohane vet🥼🥼 :
sijaon road ya hatar hapo zaidi ya njombe to songea road 🤣🤣🤣🤣
2026-11-03 20:43:14
42
bbyg.og2
babyg😘 :
mbona mnaisahau nyang'oro ya iringa to mbeya
2026-11-04 06:47:08
7
merrynoel579
Merrycutee :
wangp tumepit mlim ktong tukaw tunsal
2026-11-03 20:27:10
11
youngjax9
youngjax :
mlima nyan'goro, mlima sekenke ,mlima kitonga na K9 achana nayo kaka ukipita salama shukuru mungu🛣🙏
2026-11-03 21:35:20
16
user14612958474554
Mussa sheshe :
Soni baba lap
2026-11-04 08:14:43
0
elias.evarist8
Elias Evarist :
umesahau mlima magala kutoka babat to mbulu
2026-11-04 07:49:13
1
daudikarat
karata :
sijaona barabara yakitoka mambo kwenda soni
2026-11-03 20:47:33
8
user7679956780606
lzyernest :
sijaona Barbara ya kutoka mombo Soni,mbumbuli na rushoto
2026-11-03 20:52:25
8
ninoh060
rahma ninoh og😘 4👊 :
mlima ndororo morogoro weeh atali
2026-11-04 08:51:46
0
cauthaly6
Cauthaly :
umesahau lushoto tanga🤣🤣
2026-11-03 20:48:18
20
martha.masanja
martha :
mbeya kiboko sku ya kwanz kwenda nilihis kuanguka
2026-11-03 20:21:08
7
user4368238131547
Mimah :
barabara kutoka mombo kuelekea soni Lushoto
2026-11-04 06:24:37
2
caroline22921
caroline :
mlima mze sumbawanga
2026-11-03 20:24:35
3
saraphinejumapili
mrs masalu :
mbeya chunya ni barabara hatari
2026-11-04 06:32:27
2
djhgvvbjouydddxccvbnjh
joseph ogora :
mbeya chunya
2026-11-04 06:18:25
1
salomemgaya53
SA💝LL👅Y :
mbeya hamn panapo tixha bwana
2026-11-03 21:30:26
0
johnass79
johnas's :
mbeya kona za mkoa baba🙌🙌
2026-11-03 20:28:55
5
mariamshitindi
♏AROY 8 MALIMIX 🦂🖤 :
mbeya chunya,,ndio njia yangu ya Kila siku🥰😂 mbon haitishi
2026-11-04 07:18:08
0
sheivansimon
Unstoppable- de NI :
Kuna Tanga lushoto na Nyang'oro acha kabisa ile n namba 1
2026-11-03 21:25:34
3
user5907319720474
rii mom :
Mbn ya njombe aipo hko ukpta unashuikilia roho
2026-11-04 06:38:22
1
pansydecute
pansy de cute 17💞💕 :
iringa to dodoma kona zanyang'oro
2026-11-03 20:53:28
3
chamaboy4100.gmai
Charles Michael :
Kila mtu aseme tu yenye anajua,, ndio itakua atari,,, ila kupata kweli hp uongo☝️😱
2026-11-03 21:42:14
2
malongo.co
malongo :
kitonga itoe bro zote umetaja za kawaida ila zinahitaji nidhamu,uliza watu wanaoshinda njia za porini wakuambie kuna njia bro ni hataaari unatamani urudishe leseni we unataja kitonga mzee
2026-11-04 07:47:11
1
To see more videos from user @abbh.mnazareth, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About