@hearthaneef: Fungua milango ya baraka na kujibiwa kwa dua zako kwa maneno haya mepesi pindi unapoamka usiku. Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) ametufundisha dhikr hii yenye fadhila kubwa ambayo inaweza kuwa sababu ya kusamehewa madambi na kukubaliwa kwa sala zetu. Hebu tuifanye kuwa sehemu ya tabia zetu! #MwenyeziMungu #DuaZilizojibiwa #FadhilaZaDhikr #sheikhsulaymanalruhayli #CapCut