@royalfurniturearusha: Huku mambo ni lelelele jamani watu wametiwa ndimu🤌 basi unaambiwa pambe wazimu 🔥🔥🔥🔥 Iyo lini iyooooo iyo 05/12 we Nunua tiketi sisi tutakuletea muhasimu wako. Jamani mjue mambo madogo madogo mi siyawezi🫸 napenda kuyakuza mambo mwezenu 🔥🔥🔥🔥💃💃💃 waswahili tunajmbo letu mwanetu pambe vepeeeee🔥