wale ambao tulikuaga wapole shulen na tumekuja kujanjarukia mtaan tujuane apa
2026-11-04 08:29:15
932
DJ HANCE🎧 :
Mwalimu wa nidhamu alipita madarasani anakusanya viatu visivyo vya shule akaondoka navyo alafu sisi tulikua tunakaa hostel Usiku ilivofika saa ngapi tusiende ofis ya Nidhamu tukapanda juu ya dari tukaviiba tukarudishia wale wanafunzi 😂😂😂 si wakakamatwa navyo tena wakaulizwa mmetoa wapi wakamtaja mmoja 😂😂 yule mmoja alivoitwa sasa kichapo kilichotembea sio cha nchi hii😂😂 na yeye akataja mwenzake hapo nikabaki mm alafu nilikua nimetoroka shule mchana hivo nilivyotafutwa tena sionekani issue ikawa deep zaidi😂😂 Nilivyorudi ile nimefika tu Kengele ikagongwa watu mbio Assembly Nashangaa wenzangu wanaletwa kama vile wezi wamekamwata mtaani alafu wamepigwa ile mbaya alafu nikaitwa nikaulizwa hawa ni wakina nani 😂😂😂Mimi sasa nikajibu siwajui na nina soma nao darasa moja Kuna mwalimu alikua karibu yangu alinipiga mtama Wanafunzi wote wakakaa kimya 😂😂😂Baada ya hapo wale wakaachiliwa ila mimi niliona moto😂😂 nikapewa na adhabu ya kusain kila baada ya masaa mawili ili nisitoroke tena shulee😂😂😂🙌🙌🙌🙌
2026-11-04 09:36:03
170
YOHANA GABRIEL CRETUS :
MM NILICHORA NICKNAME YOX OFFICE YA HEAD MASTER
2026-11-04 10:29:35
1
Elias Masudi :
nlivuta vitu vyang vikanituma nikashushe bendela sa 7 mchang sitasahau kile kipigo mpaka na polis nilipelekwa
2026-11-04 06:38:52
286
kim. shaay :
wale ambao tulokuw na mabwana xhulen tujuanee bilaa iyanaa
2026-11-03 23:11:27
340
Shaban Muhammad :
kun far 1 alnisingizia nmeiba kiatu chke
2026-11-04 14:44:37
0
jobycret0 :
nilienda kununua kwa mke wa mwalimu mihogo na ela ya kuchana kwenye kitabu
2026-11-04 04:38:37
206
Disso Rhymez :
😅😅😅 Huu mwaka siusahau 2028 kuna jamaa walifeli wakarudia shule sasa wao walikua wakubwa kwetu ila wakawa washkaji zangu mana nilikua mjanja na nilikua nacheza nao mpira sasa mshkaji mmoja akamtongoza dem dem akamkataa akaamua kumuandikia barua ya matusi sasa tukiwa tunachangia matusi kwenye ile barua dem siakaipeleka kwa mama yake mama yake akaja shule ile tuko mstarini jamaa alieandika akaitwa kuisoma nakutaja alioshirikiana nao kichapo sio poa jamaa kataja watu wawili na wale wawili wataje wengine nilipokua nimesimama naona kama sina miguu mana mama wa yule binti ni shangazi yangu kati ya wale wawili mmoja akamtaja RICHARD alipopanda akapewa kofi mpaka nikafunga macho wakati najiandaa kukimbia RICHARD kaulizwa taja wengine kasema ndio hawa hawa nilijikuta nimweka mikono kichwani 😂😂😂😂RICHARD popote ulipo mwanangu wewe ni MUSSA mana ile bahari ningeioga shuleni na nyumbani ndio ningezama kabisaaa🤣🤣🤣🤣
2026-11-04 06:35:33
120
Fribetha Josephath :
kulikuwa na mdhambarau nje ya nyumba ya mwalimu walimu walikuwa wanakataza kupanda nilisubiria wanafunz waingie madarasan halafu yule ticha akaingia kwake nikafunga get kwa nje ili asitoke nikapanda kwenye mti,akataka kutoka akakuta get limefungwa kwa nje akaangalia juu akaniona niko nimening'inia kwenye mti akapiga sm kwa mkuu kengele ikagongwa nikashuka nikaingia kwenye tank la maji wakanitafuta wakanikosa wanafunzi wakarud madarasan kwa matangazo mwahalifu haonekan
2026-11-04 06:31:50
97
Mom apple🍏🍎🦋❤️🦋🌹💋 :
tulioo wah kumgomea head master hebu tujuane😂
2026-11-04 09:27:41
15
elnot :
niliiba kengele ika gongwa sufuria😁😁
2026-11-04 09:07:52
20
Daddy's princess 🥰🤩 :
kusema watu waende home period ya floods..and we were the only school that had opened ☺️
2026-11-04 08:35:23
1
julieth Vasha :
nilitumwa vitafunio na mwalimu wa filde Nikala mimi na nilikua nivaa sweta nikavua ili asinijue
2026-11-04 06:29:24
52
Anna Steven :
Tulishikwa na cm hostel yaan tulizibonda paledi 😂😂
nilifeli nikaenda usiku wa manane kuchana matokeo walio bandika 😂😂😂tuka chapwa wote
2026-11-04 08:29:21
5
shaniter loveran :
Mwalimu wa Geography alimpiga rafiki yangu kisa hakufanya homework,cz alikua mazishi ya babaake,jmn Roho iliniuma nilinyanyuka nikavuta fimbo nilimpiga mwalimu fimbo ya shingo akadondoka aysee ctasahau,na huweziamini nilipomaliza shule alikuja kunichumbia babaangu akakataa
2026-11-04 11:13:31
9
MU"S"LI"M" :
Nilimlushia mwalim mjusi😂
2026-11-03 22:38:14
22
Miss KRD🙈🙈 :
niliiba Makoti ya shule ofisin kwa mwalimu
2026-11-04 04:54:25
11
Elly :
acha kabisa tulikuwa tunacheza rede darasa la sita,rede ya darasa la tatu ikanigonga nikaitupa huko shambani,yule mwanafunzi akaenda kunisema,akaambiwa aje aniite nikamwambia mwambie huyo mwalim mmi pia namuita mara ya kwanza nikajubu ivyo mara ya pili ivyo ivyo mara ya tatu nilijionea mmi🙆🙆🙆🙆
2026-11-04 06:12:26
12
DEEKO-ACTRESS :
Niongee kwa kukaa ama kwa kusimama 😂😂😂😂😂😂
2026-11-04 09:28:53
12
21st November 🎂💸🎁 :
nilifiwa na wazazi wangu🥹🥹
2026-11-04 11:47:55
12
To see more videos from user @tonny_memes, please go to the Tikwm
homepage.