@silioflife2: #siliyamaishafact #tanzaniatiktok #fypage #mwangaza💡 #misemo_ya_hekima

sili ya maisha 3
sili ya maisha 3
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 20:54:23 GMT
12942
657
11
59

Music

Download

Comments

neemagftisonmmari
neema :
nashukuru Sana nitaacha
2026-11-04 10:39:23
1
lyneh.54tz
Lyneh 54Tz 🇹🇿🇺🇬 :
Anali ila simbembelezi kabsa
2026-11-04 07:51:21
1
bogria.11
Bogria Alban :
kama kosa limeshafanyika natakiwa kufanya nini hili kurekebisha kosa
2026-11-04 05:05:34
3
user8909389410956
reny :
anataka majirani wasikae tension
2026-11-04 11:29:29
0
userjeshi.la.mtu.m
userjeshi la mtu mmoja :
mtumee mi nampiga kisha namwambia nyamaza nimekupiga na yeye ananijibu hapana kumbe naharibu
2026-11-04 11:21:44
0
lovenessgmail.com4
[email protected] :
na mm akinikosea namchapa lakn akilia na mm nalia roho inaniuma kwa nn nmemchapa na ni mtoto halaf nambembeleza ananyamaza
2026-11-04 11:31:47
0
user4446019184365
Adellajohn :
akikosea nachapa,kabla ya kumchapa namwambia Neno la Mungu linasemaje kuhusu alivyoenenda,then namchapa huku namwambia maneno mazuri kwamba Yeye ni mtumishi wa Mungu na ni mtoto wa Mungu na kwamba Mungu na mimi tunampenda sana na hatutaki apotelee makosani☺️, akilia Simbembelezi,namwacha kwanza, then baada ya muda tunakaa sawa.
2026-11-04 09:29:30
0
user142080830732
MOM G :
Sikumbuki nilimchapa lini mwwnangu ila akifanya kosa nikimkata jicho tu anaacha anacho kifanya🥰🥰
2026-11-04 06:28:44
1
billionaire6687
billionaire :
😂😂😂
2026-11-03 20:57:51
1
ngoy.jean.freddy.r
Freddy ngoy :
👍👍👍
2026-11-03 22:16:26
0
ngoy.jean.freddy.r
Freddy ngoy :
🥰🥰🥰
2026-11-03 21:55:18
0
To see more videos from user @silioflife2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About