@selphix_media1: Zuchu amesema mtu wa kwanza kumuendesha katika gari yake ya kwanza ambayo ni Prado alikuwa mama yake na sasa hivi pia, kwa hii gari mpya Bentley mama yake amekuwa mtu wa kwanza kumuendesha. Hata hivyo, wakati huu pia kuna mtu Mwingine ameongezeka ambaye ni binti yake wa kwanza anayeitwa Sandrah ambaye ni mtoto wa @diamondplatnumz kama baba wa mtoto huyo. Video: wasafi Fm #fyp #tiktokviral #tiktoktrending #dodoma #tiktoktanzania🇹🇿
selphix_media
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 21:09:43 GMT
Music
Download
Comments
Ysarah Amidu :
Congratulations da zuchu
2026-11-04 17:27:46
0
Clebajo :
Uchungu wa mwana aujuwae mzazi Kweli yani adi Zuuu amuamini mama yake anaona kama atamgonga mwanao .Heeeee nakupenda bure Zuuuuu wangu💃💃💃💃
2026-11-04 03:06:04
51
Baby girl :
hhhhah nakumbuka kuna siku Mam angu alinisusia mtot kisa najifany niko makin naona kam atamuumiza🤣😂🤣
2026-11-04 04:53:39
19
FARAJA :
zuchu nakupenda sn munguakukumbuke na sandura
2026-11-04 05:34:13
1
anna jenro :
zuchu nakupenda had naumwa
2026-11-03 22:20:50
10
Bituni Hednton :
Heri nyie mnamam mkiwa naraha mponao mkiwa nahuzun mponao me sina mam nikiona hiv nawish angekuepo japo sina kitu
2026-11-04 09:05:18
2
Jackiline peter :
nimempenda zuchu ajaficha mtoto kama wasanii wengine
2026-11-04 18:00:56
4
Shaky mumy@1921 :
mm ndio uyo nilimbeba mtt wa da zuchu.
2026-11-04 05:13:12
4
🎀Rahmacute🎀🥰 :
ila Sandra ana vibe😂😂
2026-11-03 23:52:39
2
Ms_Mary💄🎀 :
Zuchu anaogopa mwanae asijigonge juu ya gari Ila uzazi wa kwanza raha😁🥰🥰🥰
2026-11-03 23:21:45
4
"ʜ"💕Qeen🫦 :
ila nilicho penda zuchu hajamficha sana mtoto wake kama wengine
2026-11-04 14:16:39
3
Momoh🍎 :
Kafanana na baba ake jamn😍
2026-11-04 09:56:52
2
Brian simbah :
da zuchu nakupnd
2026-11-03 22:10:44
3
💞mwannah💞 :
sandra bado ujaona mengi
2026-11-04 05:27:23
2
kimbuu45 :
saw moja ya mafanikio da sister
2026-11-04 03:16:38
2
Fafa ziree❤️ :
congratulations darling
2026-11-03 21:58:53
2
DOLLAR :
HELA NI TAMU USIAMBIWE NA MTU
2026-11-04 03:36:48
2
momoh yuh😍 :
tusibirien challenge sasa za watu na watot zao
2026-11-04 19:15:07
1
Fatuma Hussen :
zuchu nakupenda
2026-11-04 08:40:43
1
feety :
hongeradada
2026-11-06 20:23:08
0
Mamu Hotel.🍲🍲 :
umemsahau mama mkwe kumuendesha😂😂
2026-11-04 16:18:00
0
Magoma :
anafanana na tiffa daah
2026-11-04 14:37:43
0
mama_sandrah💝 :
na mtoto umemuendesha
2026-11-04 17:16:53
0
madame d :
kamera ua za nn
2026-11-05 08:36:49
0
user6276148130720 :
2026-11-04 12:10:22
0
To see more videos from user @selphix_media1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.