@dost.media.tz: Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara vs Mbunge wa Arusha Mjini na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda wakati wa Kikao cha Saba, Mkutano wa Tano wa Bunge la Kumi na Tatu jijini Dodoma leo Novemba 3, 2026. _ Fuatilia @dostmediatz kwenye YouTube Channel #DostMediaTz na tembelea website www.dostmedia.co.tz kwa Habari, Makala, Michezo, Burudani, Uchambuzi na Mahojiano. #dostmediatz #dosthabari #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokviral
Dost Media Tz
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 22:03:37 GMT
Music
Download
Comments
mlekayipyanyakaduli :
Waitara anazungumzia matumizi mabaya ya pesa waziri anajibu ubora wa uwanja
2026-11-04 06:23:58
13
mugore4 :
kwan sheria inasemaje mana wazili anamuda wake wa kujib kwann asinge subiri
2026-11-04 05:22:56
3
simbayao :
kwaiyo caf ndo walisema tuweke round ya kukimbilia 😂
2026-11-04 04:45:52
5
AZOBANGAYO :
uhuru umekarabatiwa lkn Hauna sifa ya kucheza caf champion league according na caf wenyew
2026-11-04 06:50:53
4
user95804110325570 :
kumbe mnajua kua viwanja vyetu vyooote tumepigwa
2026-11-04 05:02:07
3
Mashauri Moyo :
sasa makofi ya nn jmn until maelezo na majibu ni differ waitara anacomplain Matumizi ya fedha na cyo namna ya Qualification za viwanja kuhusu CAF, let us continue with our country 📌
2026-11-04 09:39:43
0
mr.nonchalant :
😅😅
2026-11-04 05:51:03
0
Meshack Nzibavuga :
wizi wa inchii hii nihaibu Kwa wazalendo wa inchii hii sio Kwa waizi
2026-11-04 05:51:24
6
pirloinc255 :
Meza hazigongwi hapo
2026-11-04 06:06:38
3
deus maduhu :
kazi kumsifia samia kumbe anajua madudu aliofanya
2026-11-04 07:12:19
2
erenyeager :
wakishazidiwa... TAAARIFA.. ka mis...
2026-11-04 07:03:34
2
Revocatuschangala :
Rudi Chadema Mwita Waitara 😂😂😂
2026-11-04 05:02:14
3
Young money :
😂🤣🤣
2026-11-04 03:57:51
1
To see more videos from user @dost.media.tz, please go to the Tikwm
homepage.