@bible.study.discu: Ukipata nafasi yoyote katika maisha hakikisha unaitumia vizuri, kwasababu huko mbele hautakuwa na nafasi ya kufanya chochote! Eng.Laizer. Karibu Bible study Kila siku ya Jumamosi Jioni Delcafe Esso Mbeya mjini mkabala na chuo cha uhasibu (TIA) saa 11:30-2:00 usiku Karibu ujifunze ukue, Karibu tujadili, karibu tushiriki, Karibu tufurahi, karibu tuombe pamoja, Karibu tujenge network mpya na Karibu na rafiki yako!! Na MUNGU akubariki!! Kijana wa kiume karibu na kijana wa kike karibu usijifungie ndani!! #biblestudymoments #christiantiktok #jesuslovesyou #tiktokviral #creatorsearchinsights
Nataman nikija mbeyaa nije Apoo 🥰🥰🥰,,,sjui mpo sehemu gani watumishi wa MUNGU 🙌
2026-11-10 08:45:24
2
ronny jr✨ :
NENO LANGU LA ASUBUHI NOW AM FEEL BETTER TO SEE A LIGHT AND SHINE OF SUN 🌞
2026-11-04 06:46:05
7
kalim juma :
good my famil pwent moj kwet vijan 🪚🪚🪚🪚🪚🪚🪚
2026-11-04 05:28:26
2
The real SONNY⚽️ :
AMEN T.O.D
2026-11-04 17:06:25
1
Fagason1 :
mimi kwa upande wangu na amini hakuna bahati kwa maana Mungu habahatishi kwa Mungu kuna Neema na Rehema ambazo Zina ambatana na wakati na majila Yako Yaki fika
Nguvu ya MUNGU
2026-11-29 07:53:19
0
$!len#^*🏏 :
BWANA YESU ASIFIWE WATU WA MUNGU KARIBUN MWANZA CHUO CHA SAUT TUSHIRIKI SOTE
2026-11-05 14:40:48
2
♛ 𝑱𝑶𝑺𝑯𝑼𝑨 🔥🔥 :
group la whatsapp jmn
2026-11-07 13:44:06
1
Sweetsil creative :
waaaaoh ameeen
2026-11-05 16:51:16
1
vivaan business :
amen
2026-11-16 20:12:52
1
Bendera :
ubalikiwe sana ndugu yangu
2026-11-04 18:00:09
1
derick :
brother laizer 🙌🙌🤝
2026-11-23 20:35:41
1
Enzoh_la fuente🇧🇷 :
Amini🙏
2026-11-05 10:13:43
1
IBRAAH KADABRA ✝️ :
Amen
2026-11-03 22:43:58
2
agjames :
AMEN 🙏🙏
2026-11-04 04:43:32
1
Boniface Lyati :
Amen
2026-11-04 05:24:08
1
Jp⁴@Wakashy🤐😁 :
Amen
2026-11-06 21:24:18
0
Loy :
🙏🙏🙏
2026-11-19 18:21:44
2
huncho...min :
sijuw Bible ila mistar naifatilia Sana I wish siku moja nije mbeya ..nijiunge na familia ya mungu
2026-11-19 10:52:27
1
Eric Bakebula Paul B :
👏🏿
2026-11-19 02:21:49
1
chief b :
😎😎😎
2026-11-24 13:19:01
1
To see more videos from user @bible.study.discu, please go to the Tikwm
homepage.