nikitembea hivi! hiviii 😁 najivunia kuzaliwa Machame alfu mtu akiniuliza ww mchanga wawapi asee na ji proud sanaaaaaaaaaaa mm mmchame original no mchakachuo🤣
2026-11-04 07:16:55
32
Chica bonita :
Proud Machame babes❤️❤️💫
2026-11-04 11:08:59
0
🦋 LIGHT 🦋 :
syo Kwa ubaya 😅🙏
2026-11-04 07:58:06
16
user8999006921066 :
machame home land
2026-11-04 10:05:40
0
urassa@elia :
MACHAME hoyeee[Power][Power]
2026-11-04 06:52:01
20
Joycesawe :
wamachame oyeeeee👍👍👍
2026-11-04 08:51:19
0
smartgirlie :
ni paradise machame oyeee🤣🤣🤣
2026-11-04 07:10:55
27
sanjana😇 :
mwaka 1970 serikali ilipanga kujenga shule mbili kila kata walipofika machame wakakuta tayari tuna shule 12 hizo shule wakapewa serikali zikasajiliwa kwa mfumo wa serikali😂😂😂
2026-11-04 06:54:29
32
Noel Swai :
Kuna makanisa mazuri kuliko baadhi ya makanisa mengi yaliyopo mjini