duh mi baba angu amefaliki ata sjamiliki cm yakupiga nae picha mungu amlaze mahala pema peponi baba yangu 🙏🙏🙏
2026-11-04 11:23:41
1
Ezekiel Edwin Mwakajila :
Oyaah mwezi uliopita tu nimeenda home nimepiga picha na baba na nilipiga picha na mama.
2026-11-04 17:41:55
1
king 👑 :
mim sin tat ayamtu mmoja kwenye family yang pch😭😭😭
2026-11-04 07:40:37
1
FZ tradutor :
😁Mimi ata na mamayago sina
2026-11-04 19:58:13
0
JOHN :
ukwel kabs
2026-11-04 20:16:05
0
pappy dady🔥🎖 :
hap tunaelewa wanaume tu
2026-11-04 19:28:25
0
Mjukuu wa mwamposa 255 🇹🇿✝️ :
Dha amakweli ume ongea ukweli Huwa najiuliza kwanini tuna ona kina baba ni wabaya bila sababu🙏 ewe mwenyezi mungu naomba uniepushie chuki kwa watu wangu wote
2026-11-04 05:34:26
2
thomas :
2026-11-04 18:58:15
0
Technical_agro_iddi_haridi :
toka nione upande wa pili basi najipend mm kwanza wengine baadae 😅😂💐
2026-11-04 19:35:27
0
darassa kalonga :
daahhhh umeongea point saana khan halafu umenikumbusha mbali sana r.i.p baba
2026-11-04 12:00:43
0
Tony Mateli 🍁🍁🧭⚓ :
zote sina ata ya mama sina nasikumbuki mara ya mwishow kuogea naye tumekaa chini ni lini
2026-11-04 12:26:35
0
Omofia Kwenu :
dah🥺🥺🥺
2026-11-04 12:16:40
0
haikal sadick :
kweli kabisa
2026-11-04 05:27:52
0
RHM $ MAVERICK :
fact
2026-11-04 20:55:58
0
قسر سول👓 :
2026-11-04 08:12:38
0
It's_-_ Michael🇹🇿 :
picha inasaidia Nini kwani.?
2026-11-04 11:16:16
0
@Elmo 💵 :
Dah mm ninayo lakini ya utotoni ya utu uzima sijapiga nae 😭 inaniumaga saana hyo kitu lakini sina namna R.I.P father.
2026-11-04 11:33:51
0
EYEZOH MUSA :
katika maisha yangu umenifunza mengi @khan
2026-11-04 10:02:24
0
🇹🇿저스틴🇹🇿 :
wengine tuliachiwa urithi wa picha tu na jina
2026-11-04 09:09:42
0
official Dr jaco :
uyu ni mm sina at moja sio kwamba tunapenda ila sijui
2026-11-04 05:33:04
0
To see more videos from user @khaanmahaba, please go to the Tikwm
homepage.