@growth555: Mara nyingi tumekuwa tukiwa na mashaka kwenye maisha yetu kwasababu mambo yetu hayaendi wakati mwingine sio wavivu,hatujakata tamaa Bali ni kitamboo kidogo tunapitia ila tunasahau Mungu muumbaji ni mweza Mkabidhi leo mambo yako kama alivyosema kwenye Mathayo 11:28 "Njoo kwangu ninyi wote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha". #Love #inspiration #godwords #morningprayer #motivate