@winniekilemo: KILA KITU HUANZA NA WAZO. Kila safari huanza na wazo Ukithibiti mawazo yako umethibiti na hatima yako. Maana mawazo yana mchango mkubwa wa hatima ya Maisha ya mtu. Je unaweza nini leo Je una mambo unayaona yanatokea kwenye maisha yako ambayo ni matokeo ya mawazo ya Jana, mwezi Jana au miaka iliyopita? Ukitaka kuthibiti HATIMA yako basi huna budi kuthibiti mawazo yako kwanza. Pastor Winnie Kilemo Empower Life Ministries 0769141105 #Love #reelsinstagram

Winnie Kilemo
Winnie Kilemo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 05:34:17 GMT
368
48
1
20

Music

Download

Comments

dorry550
Dorry Michael :
🔥🔥🔥
2026-11-04 07:30:03
0
To see more videos from user @winniekilemo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About