you better watch ur back kama natoboa ukuta wako🤣🤣🤣
2026-11-04 18:05:12
0
𝔸l𝕠𝕪𝕔𝕖👊 :
mtajua wenyewe
2026-11-04 08:03:57
115
Nurat Yusuphu :
nchi 75 ndani kumegeuka. banda la.maonyesho
2026-11-04 08:43:51
55
cute girl 😍 :
oooh my gwaaaado
2026-11-04 11:01:44
0
Chard mirror design ✅ :
Tueshimiane bro
2026-11-04 14:59:50
0
~TEMPA MJAPANI 113⚠️ :
EATV MBONA SKUIZ MNADHARAU SANA🤣🤣
2026-11-04 11:04:44
16
amirikhan947 :
huyu katokea wap
2026-11-04 08:33:19
14
Nelly De Golden🩺💊🩸 :
Ununue TV inch 75 upange tena hiii wewe vipi tena mie nadiba ukuta mpaka nje hutaamini 😂😂
2026-11-04 08:12:37
11
Ester beaut saloon :
nchi 75 ili mwenyenyumb anipandishie kodi 😂😂😂
2026-11-04 10:56:51
9
The Bright Media Services :
Bora mmesemea tv, sisi wa simu tuko salama🤣🤣🤣
2026-11-04 18:37:11
5
miyaa Buhet :
LG ukienda kununua tv wanaomba kuona ukuta wako yaani hata kama ulikuwa unataka 75 wakiona sittingroom yko ndogo anakushauri uchukue tv kulingana na sittingroom yko wanashauri kabisa hiyo tv unayotaka na hapa kwako co rafiki kwa macho sasa me mwenye chumba kimoja nikanunue 75 hyo niikiumwa macho…??
2026-11-04 14:24:35
3
ha-bib-tee :
msitusimange
2026-11-04 07:34:39
6
Samson Michael :
ukumbuke nyumba si mbingu acha kuwazarau wenzio
2026-11-04 18:48:27
0
Tshingwathene :
😂😂😂😂hata mm sikubali ukuta wangu utobolewe kweli sasa kiTV cha inch 32 si unaweza ukampa mtoto mchanga akakipakata na mkaangalia vizuri tu😂😂😂😂
2026-11-04 08:45:26
5
Sweet Mangii❤️🦋❤️ :
Asa kama nd uwezo wake mtu asiangalie tv yake
2026-11-04 10:27:30
3
Sheynu salum :
mr _Omni_tz si ww unaonaa
2026-11-04 10:57:29
1
mwanafire 🔥🔥 :
toa nyumba uniachie 32 nch
2026-11-04 09:41:01
6
PeterM :
ila watu😅🤣😂
2026-11-04 08:46:47
1
CeciliaSadala :
Na 65 je?
2026-11-04 10:18:53
1
@young :
zaman nilikuwa nakiona mtu amevaa suit najua anae akili timamu na anaongea point...😂😂
2026-11-04 08:45:07
3
paul45🧢🧢 :
Mimi nimetoboa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-04 11:32:04
2
jumba la dhahabu :
Acha zarau bro
2026-11-04 11:37:48
1
Reginard Christopher :
usinipangie maisha sawa
2026-11-04 12:23:22
1
To see more videos from user @mgk.online.media, please go to the Tikwm
homepage.