unaweza kutoa mtu ila akakupita kaka na ukamtegemea
2026-11-04 08:38:08
157
The chief :
kigosi is the best actor wa bongo...
2026-11-05 14:35:15
0
supersonic⭐ :
baada ya kanumba kufa kawatoa wengine kina nan ambao ni maarufu saiz?
2026-11-04 16:10:24
52
Juma Halifa :
kutoa watu siyo kuwa maarufu
2026-11-04 10:19:56
47
Kababayee Babayao :
😂😂😂 Weeh ni kwelii????
2026-11-04 07:43:14
15
Baxton/hosenamart :
rey kogos, hakuna mtu wa kukufananisha na ww kweny bongo movies... ww ni number 1
2026-11-04 09:11:11
21
Mullad.💎 :
mwamba kaona achukue heshima yake kwanguvu 💪🏾
2026-11-06 15:09:40
8
mhm :
mbona povu star
2026-11-04 08:04:32
15
Khadija Ngosha :
wapenzi wa move tunakuelewa
2026-11-04 19:33:19
8
Mr energy :
Uko sahihi mkuu 🫡 sema combination yako na kanumba ilikuwa bora sanaa
ni zamu yangu sasa na mimi nitoke kupitia wewe mkuu.....
2026-11-04 08:57:54
11
banz tz :
Yeah ni kwer Yuko sahihi, na huo ndo ukwer wenyewe
2026-11-04 09:06:14
25
M S G fils de l'esprit saint. :
lakini nashanga tokeya kifo kya kanumba sijaona mouvi yako kwa nini ?
2026-11-06 09:26:16
3
Fils d'Uvira :
kweli kabisa 100%
2026-11-04 08:45:02
14
Dr.Dre :
Anaebisha amekuja mjini juzi, Ray mjini kitambo b4 kanumba, ashakuwa video king kweny baadhi ya nyimbo za zamani zakina lady jay Dee, b4 kanumba hajaja mjini✍️
2026-11-04 13:53:37
27
obed ornane :
eyooooh eeeeeee ni mambo vraiment
2026-11-06 20:08:47
0
Tivo maker :
nimekataa
2026-11-04 08:27:24
5
SAM'S THE GREAT :
100% true
2026-11-04 08:57:00
6
fila kajila :
ça je ne crois pas kanumba!!! a tshabongo DJA FÊTE
2026-11-06 17:38:50
1
card five :
Jina la Rey Kigosi lilivuma kabla ya kanumba
2026-11-07 18:30:11
2
bertha ngongo :
ok tunapenda sana
2026-11-09 12:53:02
1
medilick sipiliani :
kwan mimi kwa sasa si docter ila nilitoka kwenye mikono ya mwalim kwa sasa namzid maisha ila namueshimu
2026-11-04 13:52:01
4
MR ABUNUASI🦍 :
😂😂😂 daaaaaa
2026-11-04 18:54:22
2
KOBA BRAND :
kweli
2026-11-04 17:29:24
1
STEVE OG :
kabisaaaa
2026-11-05 18:41:45
1
amanimuyaya :
ni kweri kabisa kabisa
2026-11-06 06:36:13
1
To see more videos from user @talent.tz1, please go to the Tikwm
homepage.