Mungu kwanza brother arafu ndo anafuta binadamu 🙏🙏🙏
2026-11-04 07:44:07
9
mkwele :
kwani hamlipwi?
2026-11-04 07:39:30
9
Omary Mwambogoro :
big up sana mwalim
2026-11-04 10:35:09
1
Hawa Bofu :
ahaaaaasaaaaaa nicheke mimi
2026-11-04 08:29:13
0
Bayyo_Katesh :
Tatizo wazazi ambao hawalipi ada hawathamini mchango wa walimu lakini Wale wazazi wanaolipa ada hawana shida. Huwa wanawabless walimu.
2026-11-04 09:00:21
4
Mwsh>>🌹🦋❤️ :
Sorry mwl. Watoto wangu wamepata D rakini ikisabu wastan wa matokeo ya masomo yote moja japata 135 na mwingine 127 af wastan wa kufahuru ni 121 sas najiuriza shida apo ni nini??
2026-11-04 07:59:53
3
najbaatibu :
Ila kweli
2026-11-04 07:30:58
2
wandy🌹🌚🕊️ :
Walimu zetu lawama 😂😂😂
2026-11-04 08:47:26
2
Teacher Zay :
Mi kusema kweli nilikuwa nafundisha kwa bidii ili niepuke barua za kujieleza kwa D.E.O na R.E.O hata wasipokuja kunishukuru kwangu sio shida
2026-11-04 08:10:18
5
👑Zahra Zahra💞🌹 :
ni kwel kabs bd hawaon thamn hap tumepew miez miwil tu tunalalamika vil hatuwez kukaa n wtt
2026-11-04 09:17:19
2
Happy 💕💕 :
umeongea point sana mwalimu
2026-11-04 08:19:27
4
alphabartazary :
punguza makasiriko mwl. watakuja tu kukushukuru. na huko hawaendi kumshukuru mtu bali Mungu ambaye yuko nasi kila siku maana hata pumzi tu ni neema
2026-11-04 08:04:36
1
user5099878811574 :
Mwisho wa siku upako muhimu
2026-11-04 08:57:16
0
Lukensa :
Kila mtu acheze kwenye nafasi yake bhana.. Maana hata Mwanafunzi pia anamchango pia kwenye ufaulu wake, Mzazi wake alkadhalika.. Kwahiyo wewe ukiletewa kausha usipoletewa pia kausha kikubwa umefanya kazi yako.
2026-11-04 08:02:32
1
Olaedo🍀 :
tumechambwa
2026-11-04 07:43:43
0
Saada Ayubu :
kweliii
2026-11-04 10:27:50
0
miss tuny :
Inshaallah Mollah awajaalie walimu wote na kuwabariki kz za Mikono yenu.Shukran kwa ukumbusho
2026-11-04 06:36:48
1
Misuka :
hiyo michakato tumewalipa mishahara ya kila mwezi, tumelipa remedial kuwamotivate, transport for school bus tumelipa miaka yote hiyo. Na zawadi tuliwapa sn tu kila wakati watoto wetu wanapopanda grade lingine na walipomaliza shule ndo usiseme. Kama hamkutosheka basi hata tuliwapa tena hamtatosheka . Ni wakati wa
ku appreciate wabariki pen , Serikari na waliowapokea Kwa ajili ya kidato cha kwanza.
2026-11-04 08:52:28
0
zizou :
duh umesema kwel
2026-11-04 10:44:02
0
marsabit :
ni kweli kabisa nchi hii ngumu sana kuielewa.
2026-11-04 10:37:55
0
Sir Robby :
sahihi sana ndg yangu
2026-11-04 10:35:18
0
Anna Massawe :
ila waalim niwapongeze mnapitia mengi sana .
2026-11-04 10:28:35
0
Anna Massawe :
🤣🤣
2026-11-04 10:27:49
0
Nicolas Riwa :
Sahihi
2026-11-04 10:23:31
0
Hussein :
nikweli kabisa watu hawajui chanzo cha A
2026-11-04 06:35:38
0
To see more videos from user @mwl.magodajr, please go to the Tikwm
homepage.