@crown.festival.dodoma: TUENDELEE KUNUNUA TIKETI WAKUU KUANZIA 20K, 50K, 100K na 1.5M TABLE 10PEOPLE au NUNUA TIKETI NILIPE APP #fyp #foryou #viral #reel #fypシ

Crown Festival Dodoma
Crown Festival Dodoma
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 06:48:13 GMT
58953
3012
354
93

Music

Download

Comments

officialchima.02
chima😘 :
🥺🥺mimi niliombwa namba na mbaba maeneo ya mikocheni clouds pale kulikuwa na msafara wa nn sijuii.. nikaona mtu ameshuka akajifanya anazuga kumbe ni uongo ..nikaja kupewa business card na bodguard wake alafu na kabaasha ilikuwa na 50k akii ...🥺🥺🥺🥺kumbe wakati nafungua ile baasha ina nn ndani yake nikakuta ni pesa nikaweka kwenye pochi kufika nyumbani naangalia ile namba haiipoo nilikuta pesa tuuu😂😂akii nililia siku tatu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🥱🥱 guys sitokuja kusahau
2026-11-04 12:52:12
145
thandeka_895
🖇️🎀𝑻𝒉𝒂𝒏𝒅𝒆𝒌𝒂 ᥫ᭡ :
Hivi crown nayo ni gari jamani Ebu wadada tusemezane mimi sioni jipya 😅😅😅
2026-11-04 13:16:56
106
_illegalnaye_
🌸🧸ILLEGAL NAYE🧸🌸 :
😂😂😂mm cjui kwa nn napenda ma cruiser
2026-11-08 08:24:15
1
safia.kasim5
💫fiyah wizzy💫 :
sio kweliii😂
2026-11-04 07:01:56
5
annhdbynyjyyrfrykyn
🌀angel👼 :
kuna mbaba alinitongoza akaomba namba nimempa akaniitoa aut tukala akanifanya shopping ya. vitu vya laki. tano akanipa laki mbili ya vocha nilihisi naota chaajabu hakuuomba uchi mi nikawa natamani nimpe ile nalud home nampigia anasema yupo Bize tang mwezi wa saba hadi asahv mwezi wa 11 hapokei simu naumia sana
2026-11-05 08:16:29
31
missdefender0
Miss 💃 Defender 🚙 :
Mmh. jamn mbona me nimemuacha Mweny crown 👑. na alikuwa ni mwanajesh 😂😂😂😂
2026-11-04 11:43:11
27
fromyourcontact252
💦Msomali🧕💫 :
uzuri,sijui aina za magari ahsante Mungu 😂😂
2026-11-04 14:14:37
22
ambonisyenevo
Nevon❤️🦋🍎 :
Sina gar ila sio crown jamani hiyo nayo gar🤣🤣🤣
2026-11-04 16:16:36
19
chuu5599
Ashley@🫂🥰 :
Kwanza sipendi kuombwa namba mimi 🥺🥺
2026-11-04 15:00:42
17
ammy.smas
Ammy 🦋💕 :
mbona mim nilimuacha sas
2026-11-04 10:21:51
7
nailahdavid2
Nailah david :
Iyo crown inayojikwangua kwenye tuta au😂
2026-11-05 05:28:42
6
emaculathasimon40
Ms Macleen❤️🧸🦋 :
aliniomba namba mtu ako na brabus had leo nawaz au nilikosea kutaja😔😅
2026-11-06 14:41:13
4
manka_mushi888
Manka Mushi :
Na wa subaru na sisi tuanzishe yetu haki😂😂😂
2026-11-04 14:20:25
8
norah.maah
Kamama😍💦 :
Ivi crown ni gar yenye maajabu gan sasa
2026-11-05 12:53:42
2
queenroseleonard
queenroseleonard :
nakumbuka siku moja nipo geita natoka dukani usiku nikakutana na mkaka akanipa laki 5na namba ya cm ajabu hakuwahi nitafuta. mpaka leo 😅😅
2026-11-07 09:03:02
1
z.qute5
It’s tunda🦋🦋 :
Mie unitafute usinitafute utajua mwenyew 😂 😂
2026-11-04 14:08:36
5
its_nokem
~its_nokem 🐐 :
kijana mwenzang nunua tu crown issue ya kutongoza iachie yenywe crown
2026-11-07 22:18:16
3
user0741097609
Mnyalu tz :
2026-11-06 10:09:57
1
.d0g.nelson.bitozi
🤴Nels0n Boe BiTozi Mnyamwezi :
90/90
2026-11-04 08:22:33
2
pinkcharm.3
Pink Charm🌸🩷 :
Mkuuu upo hadi huku kumbe 😂😂😂😂😂 kwahiyo huku beat letu ni hili afu kule Instagram ni lile nililolikariri?
2026-11-05 15:23:02
1
phetty_chego
phetty-chego :
nilipasua gari ya ex wangu akaenda kununua Corwn🤣
2026-11-05 22:29:13
2
annkaj1
annkaj :
ukwel ili Unitishe labda gar kuanzia B1
2026-11-04 17:44:37
3
finegirl8707
Finegirl💦🍀 :
Me akiniomba no namfyona na no simpi 😂😂😂
2026-11-05 07:06:28
2
user8112714153330
annastasia :
hii gari na barabara za bonyokwa mmmh🙌
2026-11-07 20:03:49
2
harleyquiin77
Empress👑Aira🌬 :
humu tuuuu
2026-11-04 19:41:35
3
To see more videos from user @crown.festival.dodoma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About