Dada unanisema mzima jamani Hadi nimeamua kuishi pekee tu
2026-11-04 07:11:04
5
Esther :
Kweli kabisa 💯
2026-11-04 13:11:22
1
MZEE___D :
umenigusa
2026-11-04 15:14:28
1
In God we trust :
Asante sana Pastor,napenda sana sauti yako!
2026-11-04 07:14:22
5
flora :
Mimi Niki pata mausiano najitowa kupenda badae mwanaume akishajuwa nampenda sana anaza kunionyesha matharau wengine wananitukana Niko desperate
2026-11-04 07:07:12
3
self love :
pastor yenye unaongea Yani nimevunjwa kama glass Wacha nipumzikie gulf
2026-11-04 15:49:47
1
Asha Msholopa :
Nikweli kabisa
2026-11-04 13:24:07
1
official Sonia 🥰 :
no kweli dad mim nimeamua kuw pekeangu sihitaj mwanaume
2026-11-04 12:54:20
1
Aisha Abdul :
kabisa dada huyo ni ukweli kbs mtu unakaa nae Una muamini yeye akuamini kila kitu unacho kufanya kwake kinakiwa kibaya na anapenda kwa mtu mwingine akajuwa amekukomoa kumbe ww ndio ulijuwa Mpambaji makubwa kwake nilikuwa kunawa mikono kwa moyo moja