@busungu_update: JUMALOKOLE AFICHUA THAMANI YA GARI LA ZUCHU AINA YA BENTLEY, AKIDAI LINAZIDI TSH MILIONI 700👉 #tanzaniantiktok🇹🇿 #zuchu #jumalokole #bongo #daressalaam🇹🇿

busungu_update
busungu_update
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 06:56:09 GMT
85849
2613
78
24

Music

Download

Comments

user9760562766114
user9760562766114 :
sio kweli zanzibar zipo kuna sehemu inaitwa magogoni hapa zanzibar jamaa anauza milioni 18 tuu
2026-11-04 08:12:10
19
dada.glory8
Dada Glory :
ila wabongo Kwa kukaguwa mambo
2026-11-04 08:28:43
12
nahyasooud
mama nanana :
zanzibar hizo na TAXI
2026-11-04 09:54:33
4
wisperfect7
wisperfect :
siezi nunua hiyo zx labda kama siioni😂
2026-11-04 11:16:18
2
arifbathigili
Arif Bathigili :
msiipandishe bei hiyo gari, bei ya mpya kilometa 0 inafika je hiyo gari kama kilometa imesoma itakua second hand bei kuanzia 200m mppaka 300m inategemea ipo katika Hali gani
2026-11-04 16:39:45
0
edtzee
edtzee :
Rand 4000 ama mil 4
2026-11-04 09:07:26
3
faridmshorozi1
FARID MSHOROZI :
laki nne sio 4000
2026-11-04 09:17:55
7
sarafinasilvesta
miss ♥️🇹🇿 :
gar kama ya zuchu mbona mbagala zipo kibao ata mm ninayo nilinunua kariakoo elf kumi na Moja na mia tano
2026-11-05 23:37:57
0
imperialfragrance255
IMPERIAL FRAGRANCE :
The Bentley Continental GT third-generation model owned by Zuchu is a very expensive luxury car. To give you an idea of its value, on the Tanzanian market, this model can cost between TZS 635 million and TZS 817 million, depending on its year of manufacture, specifications and condition. For example, a 2021 model can be valued at approximately TZS 636 million, while a 2024 model can reach around TZS 817 million. These are estimated market prices in Tanzania, not necessarily the exact amount Zuchu paid for her car
2026-11-04 13:01:12
0
pearldorin
dorlin david 🧿🦋🥰 :
2026-11-04 17:09:02
1
mona.abdallah975
Mona Abdallah :
wenzio tunaumwa Acidi hakulali hatushindi ela ya kununua dawa hatuna uku
2026-11-04 17:19:51
1
sweetynaa54
Naa😍 :
Jamani kwani gari kitu gari tuwaze kwa Mungu tunajinda kwenda na nini
2026-11-04 18:03:35
2
bebetyogaspar
crispinmalis :
Dollars elefu 30000
2026-11-05 12:12:55
0
agnessamin8
ms shaidi. :
kwa alipofika alitakiwa ndege.
2026-11-05 05:05:32
0
wizydon8
wizydon :
swali ni ya mwaka Gani na Bentley aina ipi kutokana zinatofautiana bei
2026-11-05 18:01:03
0
twahirmokiwa
Alwatan :
Swali ni used au brand new gari used ya 2020 si ununue ya 2027 ndio maana wa Kenya wanatudharau Kwa kununua magari used
2026-11-05 14:25:48
0
stevovoo
da vinci :
rand laki 4
2026-11-04 10:31:28
0
baba.wawili11
Baba wawili :
yaan wasanii utawaonea na wafanyabiashara nao hawana uwezo ila mwajiliwa anaelipwa mshahara na posho ndio wanauwezo wa kumiliki?😔
2026-11-05 13:14:31
0
lihtness.ndemanga
Lihtness Ndemanga :
3500 huku kwetu trimmer raising kisema. aliepewa kapewaaa
2026-11-04 14:15:31
0
tumaini_foundation
AFRICA :
R4299 😅😅
2026-11-04 14:12:35
0
kg652576
KG :
unajua ya mwaka gan
2026-11-04 17:52:19
0
salhayux88o
Sasha :
sawaaaa tunasubiri nyumba
2026-11-04 18:08:11
0
bebetyogaspar
crispinmalis :
Yani nyiye wasani
2026-11-05 12:12:23
0
sadiki.dihomba
SADIKI DIHOMBA :
beki wa Manchester wa zamani Riofednandi
2026-11-05 09:10:14
0
caren93_
Mng’ese girl :
Sasa Rand elfu4 si kidogo tu
2026-11-04 12:15:55
0
To see more videos from user @busungu_update, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About