@kurasa.za.asili: Hali ya hewa inapobadilika au unapojisikia umechoka, unakimbilia nini? Badala ya kutegemea vidonge kila mara, hebu jaribu hii utakuja kunishukuru, Hapa unajikinga na maradhi huku unajenga afya ya mwili wako yaani unabonda na unatuliza 😆 Siku zote Huwa nasema Kuwa na afya bora hakuhitaji gharama kubwa ni kuupa Mwili kilichosahihi . Hapa unahitaji limao , Tangawizi, Vipande vya Kitunguu Saumu , na Nusu kijiko Cha unga wa ashwagandha Faida zake ni nyingi mno . Husaidia Kupunguza Ganzi na viungo Kuwaka Moto, Kutoa Sumu Mwilini (Detox), Kubalance homoni kwa wote (Me & Ke) Kupunguza Vivimbe (Anti-inflammatory) Kuimarisha Kinga ya Mwili , Kusaidia Afya ya moyo na Figo , kudhibiti sukari, kung'arisha na kulinda ngozi nk Mambo sio magumu ukiamua 🥳 #fyp #kurasazaasili
Kurasa za Asili
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 06:59:23 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @kurasa.za.asili, please go to the Tikwm
homepage.