@magarimaarufu: Baada ya bei ya hii Gari kuwa gumzo wana magari maarufu mlitaka nifanye Review sasa kujua ukweli wa bei ya hii gari tutaujua siku ya Event ya magari maarufu. Kama unataka tufanye Magari Maarufu Car event comment hapo chini. @lumumba.insurance wao wanahakikisha suala zima la insurance haliwi stress kwako. #landrover #diffender #magarimaarufu
A Land Rover Defender is not just a vehicle it’s a statement of class, heritage, engineering and adventure. Its uniqueness lies in its rugged DNA, timeless design, legendary off-road capability and lasting value. That’s why a Defender Puma commands its price. You don’t just buy a Defender you invest in a legend. Built Different. Born Legendary 🏴☠️
2026-11-04 08:49:12
1
Prosper :
Gari nzuri sana Boss ninazo mbili kama hii
2026-11-04 10:31:32
1
MRMAN🇦🇱 :
Kuna muda mnatuchukulia poa sana gari ya milion 30
2026-11-04 07:37:46
4
hammy23 :
Bado ya zuchu
2026-11-04 09:37:06
2
#mwomba mungu 🙏🙏🙏 :
tufanyie Arusha
2026-11-04 07:37:36
1
Khan Smart Devices :
Iyo swala atukupingi bro
2026-11-04 10:31:20
0
sam urio :
location iwe arusha please
2026-11-04 11:21:32
0
𝙼𝚞𝚗𝚐𝚞𝚛𝚎🥷 :
Au sio!
2026-11-04 08:31:50
2
John Mtei :
gar spear shida izo mm nnayo
2026-11-04 08:45:21
0
Frank Mushi :
Nitaileta yakwangu hatuvumi lkn tumo
2026-11-04 11:37:04
0
Ahmed Bulji :
mil.20 sinunui
2026-11-04 08:15:31
1
Nichoras Moshii :
Yani ninunue Hilo bati chakavu milioni 400
2026-11-04 10:45:34
0
𝕽𝖔𝖒𝖊𝖔 𝔇𝔦𝔬𝔯 :
Defender
2026-11-04 07:36:39
0
sam urio :
au moshi
2026-11-04 11:21:37
0
Frank Mushi :
landrover sio ya kuichukulia poa. Shida ya landrover ni kama huijui. kama unaijua uta enjoy mno.
watu wengi wanapata shida kwa kutoijua mfano landrover inasoma millage so kwenye service unatakiwa kubadili oil kila baada ya millage 3125 kwa oil za kawaida na utumie 5w 40 castrol edge. Shida inakujaje watu wanasoma millage as km swala ambalo ukisoma millage 5000 ni sawa na km 8000. hapo tafakari ukikosea tu kwenye kipengele hicho unafikiri utakaa nayo muda gani. Mm ninayo na haijawahi kusumbua na haisumbui. Shida nyingine ni mafundi wengi hawaijui so badala ya kutengeneza wanazidi kuharibu kwa kutengeneza kwa kubunibuni. Landrover zote tumia mashine kabla ya kuifungua. Mafundi kamchape watakutesa
2026-11-04 11:34:42
0
Frank Mushi :
2026-11-04 11:39:11
0
Van Dizzou :
kwa mm land rover sizidishi 40mil
2026-11-04 08:42:51
0
gunda :
mimi mkuu naomba deli ya kutengeze mfumo wa kutengeneza tikeki ya hiyo event mkuu
2026-11-04 08:37:15
0
Frank Mushi :
Magari maarufu umeongea kweli
2026-11-04 11:35:25
0
The captaini :
sio kweli kabisa
2026-11-04 09:14:07
0
Harith_Jaes R :
hata uweke hio m57 kufika 400 bado kwa kweli
2026-11-04 08:55:45
0
Frank Mushi :
2026-11-04 11:38:34
0
JAHANGIRsMIRZA🔵 :
Mnawazim kununua kopo
2026-11-04 08:00:50
0
To see more videos from user @magarimaarufu, please go to the Tikwm
homepage.