@nguvuyarohoakili2: #creatorsearchinsights #selfconfidencemindset

NGUVUYAROHOAKILI
NGUVUYAROHOAKILI
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 07:46:29 GMT
18802
1549
126
113

Music

Download

Comments

aquires728
The blessed girl🤍 :
tegemea watu wa kushangaze
2026-11-04 15:05:34
46
fifisugar
Fiona Nkya :
Very trueee
2026-11-04 18:00:57
10
vero_nica674
VERONICA 🫦 :
Me nahisi amna mtu ana nielewa nimechagua kuendelea kukaa kimy lakn sio kwamba sioni au siskii au sio kwamba siwezi kujieleza ila nikae tuh kimya yamenikuta mengi sana
2026-11-04 14:02:13
25
pisces.yuyuz
Pisces yuyu'z🐬 :
Me Aya ndgu staki mazoea nao
2026-11-04 17:15:34
5
isayakasamwa
Issa gamba 🇹🇿🇹🇿 :
oya nilikuwa nipo viZuli kimaisha kiasi nikaja nikapoteza lamani kabisa sinakazi sina pesa nimeuza kilakitu pesa nimemaliza nilikua kipenzi chawatu malafiki wengi kweli mtu akiwa nashida najitoa mtu akija akiwa ana shida namsaidia mayfrend oya nilikaa miaka2 kulayangu shida kulala yangu shida namka hasubuhii nazululatu Asubuhii paka jioni sijakula nasijuii nitakulawapi wale malafiki wakalibu wote wakanitenga na kunicheka iliniuma Sana apondipo nikajifunza watu sio wakuwa tegemea Sasa ivi nipo kivyangu sitaki ulafiki namazoa yakijinga
2026-11-04 19:57:58
3
salsaa8181
salsaa :
exactly that 👌
2026-11-04 19:21:54
1
maryam53887
Mariah💕💅🥞♥️ :
Love yourself weka limit watu hawatupendi
2026-11-04 11:11:14
30
user3322212397305
Mr clement 21 :
ni kweli kaka
2026-11-04 20:21:56
1
seyonegisbang
S💖G :
kabisa💯
2026-11-04 20:26:58
1
rehema.kazinja
Reymaa🫶🙏💪 :
fact
2026-11-04 20:14:50
1
user3219610224929
baby fefe6 :
wanakera na maneno yao
2026-11-04 13:52:55
6
ghaniiyah
hayyah_byghaniyah 🍉 :
Unajua 🔥
2026-11-04 18:02:19
4
festuus4
MAHIKA A MAN :
Absolutely 💯
2026-11-04 19:09:41
1
queen_oracles777
QUEEN PheTeMe777🧿☘️ :
@QUEEN PheTeMe777🧿☘️:na tunaamini ulimwengu unatuhudumia ata hao wabaya bila kuzoeana unaweza amua wakakuudumia bila wao kuelewa unaweza watumia😂 mambo ya maarifa na nguvu (energy)naweza kuwa najitenga na wakanihudumia 😂😂😂 na wakaniogopa hii energy ni wango gani mwalimu?
2026-11-04 14:12:20
6
musajustine422
Musa Justine :
truth
2026-11-04 16:15:34
2
aikammari
mama J collection :
unaweza kukaa karibu na kila mtu lakini siku ya shida wote wakakimbia. tena hao watu ndio wanachangia anguko lako
2026-11-04 16:50:29
6
aishamichael00
Aisha Michael112🧿 :
[Larmes de joie][Larmes de joie][Larmes de joie] ukweli mchungu lakini Asante
2026-11-04 08:03:59
5
luv.luxebella
Luxe Bella 💎 :
😂 yaani mwalimu leo umeniongelea me kabisa kuna kipindi nilipitia acha tu asaivi naitwa mbinafsi nnaroho mbaya sijuh mchoyo ndymana najitenga nakaa pekeangu ila bora nikae ndani siku nzima kuliko kushinda kibalazani na watu kwanza nikikaa pekeangu na enjoy kuliko kukaa nawatu
2026-11-04 10:08:48
10
rebecca.yassin
Rebecca Yassin :
Mimi nilijua sina akili ukweli sinaga watu kabsaa
2026-11-04 12:17:36
11
2georgemhando
George Mhando :
absolutely
2026-11-04 18:06:43
2
cecilia.kaguo
Cecilia Kaguo :
kwakwer
2026-11-04 16:31:06
2
mdadawamakamo
Malkia wa fursa 🇹🇿 :
Me sina mpango hata na hao watu😂
2026-11-04 17:43:42
4
_candygr
Candy Ryoba :
Ni kweli kabisa🙌
2026-11-04 19:14:18
0
victoria.abel8
Victoria Abel :
na mimi nawaambia achaneni na watu jaman watu niwabayaaaa uwiii
2026-11-04 20:02:37
2
karesh204
karesh :
mm nyo sipendi watu.. mm Nye sitaki ndio maan naambia mungu anipe afya njema.. Kun wakati nilikua mgonjwa nikamuomba mungu aniponye juu mm n mm hkn mwingine
2026-11-04 18:32:04
4
To see more videos from user @nguvuyarohoakili2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About