@livestockconnecttz: Kuna kuku wenye muonekano wa kipekee ambao wengi hawajawahi kuwaona! Wewe umewahi kuona kuku wa aina hii? Unafahamu anaitwaje? Tuambie kwenye comments 👇 #Kuku #UfugajiWaKuku #PoultryFarming #Mifugo #KukuWaKienyeji
Livestock Connect Tanzania
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 07:49:17 GMT
Music
Download
Comments
Mimah Harith :
au hawa ni kunjiwa [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Laughing][Laughing][Laughing]
2026-11-04 08:27:45
2
f@h@di🇵🇸 :
Hadi kuchinja unamwonea heruma so Kwa hio rangi
2026-11-09 09:48:14
4
UNIQUE BOY :
KUKU WAKITANGA HAO
2026-11-08 18:26:16
0
it's azy :
kuku wazuri kuliko dem wangu[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-15 14:14:02
1
Financier Fx :
Ai hao
2026-11-21 05:33:58
0
fernandes :
bei gani hao
2026-11-11 21:46:04
1
KIM :
kiukwel hapana Bado
2026-11-23 08:23:49
0
Samson :
zipo wapi tununue mbegu
2026-11-16 20:31:51
0
jackob lamma :
wanapatikanaje nawataka
2026-11-16 19:40:03
0
Vagaza :
supu yao inakuwaje
2026-11-17 07:26:47
0
Said Mlambenyi :
Hapana wapo wapi?
2026-11-09 05:02:45
1
Rama home electronic :
niuzie
2026-11-18 08:06:23
0
Officiallsakorojr🇵🇸 :
me nikajua unao tuonge biasharaa
2026-11-04 10:27:36
0
Williy@10k :
hapan
2026-11-18 12:07:01
0
haruna omari :
uko wapi? nahitaji
2026-11-18 12:24:35
0
EMY :
Sii ndio nimewaona unauliza nin sas mwanetu
2026-11-20 17:36:30
0
nkuzimana Laurent :
apan
2026-11-10 17:49:01
0
Baraka Magula :
bei gn
2026-11-18 12:21:14
0
user9810050373247 :
bei
2026-11-12 16:26:08
0
Joseph C. K :
bado ndiyo mara ya kwanza wanapatikana wapi?
2026-11-13 12:28:17
0
bonge46 :
ndio c hapa kwako
2026-11-14 21:37:07
0
Jamali Athumani :
namba za cmu
2026-11-24 13:15:42
0
Erick :
bro hapana kweli au umewapinga rangi mkono moja..
2026-11-25 14:47:47
0
Sam Buthelezi :
Looking nice, where are you
2026-11-13 16:13:16
0
@Big_sAm😛 :
nickname yao ni ipi bro
2026-11-04 22:21:21
0
To see more videos from user @livestockconnecttz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.